Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EFM yavunja ngome ya kipindi cha michezo cha Radio One, yawachukua Maulid Kitenge na Omary Katanga

Kipindi cha michezo cha Radio One ‘Spoti Leo’ kimepata pigo kali baada ya watangazaji wake mahiri, Maulid Kitenge na Omary Katanga kuhamia EFM 93.7 ya Dar es Salaam. Maulid Kitenge na Omary Katanga enzi wakiwa Radio One Kuondoka ghafla kwa watangazaji hao waliokifanya kipindi cha ‘Spoti Leo’ kuwa kipindi bora zaidi cha michezo nchini kutokana […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Exclusive: Maulid Kitenge wa Radio One ahamia Radio EFM

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam leo.
Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013,inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.
“Mpaka sasa Maulidi Kitenge...

 

10 years ago

GPL

MAULID KITENGE ATUA RADIO EFM RASMI

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo, Maulidi Baraka Kitenge akisaini mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM, Dickson Ponela.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Maulid Kitenge aacha kazi Radio One na kujiunga na EFM

Mtangazaji mkongwe wa michezo kwenye kituo cha redio cha Radio One Stereo, Maulid Kitenge ameacha kazi na kwenye kituo hicho na kujiunga na kituo kipya cha redio, EFM. Kitenge akisaini mkatana wa kujiunga na EFM, kushoto ni Mkurugenzi wa Vipindi, Dickson ‘Dizzo’ Ponela Katika barua yake ya kujiuzulu, Kitenge ambaye amefanya kazi kwenye kituo hicho […]

 

9 years ago

Michuzi

Shirika La Bima La Taifa (NIC) ladhamini kipindi cha “Stars Kwanza Tusonge Mbele” kilichobuniwa na 93.7 EFM radio na TFF

Mkurugenzi wa Masoko  wa Shirika La Bima La Taifa (NIC) Bwana Elisante Maleko ametebelea studio za Efm.NIC ni wadhamini wa kipindi cha  “Stars Kwanza Tusonge Mbele” kilichobuniwa na  93.7 EFM radio na TFF kuhamasisha wananchi kurejesha upya mapenzi yao kwa timu ya Taifa Stars. Pichani kutoka kushoto ni Masoud Maestro, Elisante Maleko wa NIC , Maulid Kitenge, Musa Kawambwa, Dennis ssebo na  Oscar Oscar wa Team Michezo ya EFM 93.7 

 

10 years ago

Michuzi

Maulid Kitenge abwaga manyanga ITV na Radio one leo

MTANGAZAJI machachari wa habari za michezo kupitia kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One, Maulid Baraka Kitenge (pichani) leo kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza rasmi kubwaga manyanga (kuacha kazi) katika Kampuni hiyo aliyokuwa akiifanyia kazi baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 14. chini ni ujumbe wake aliouandika kupitia akaunti yake ya Twitter.

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA MPIGANAJI MAULID BARAKA WAA KITENGE WA EFM

Leo ni Hepi Besdei ya Kuzaliwa mpiganaji Maulid Baraka wa Kitennge ambapo jezi yake namba 10 mgongoni anaivalia katika kituo cha EFM jijini Dar es salaam. Globu ya Jamii inampa hongera kwa siku yake hii muhimu na kumtakia apulize  mishumaa mingine 100, Insha Allah!

 

9 years ago

Vijimambo

KIPINDI KIPYA CHA RADIO CHA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa kuja na kipindi kipya cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki mtayarishaji wa kipindi na mtangazaji ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo gani yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao, kila siku ya Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio unweza kutupata kupitia...

 

9 years ago

Michuzi

KAPU LA SIKUKUU Toka Kituo bora cha radio 2015 93.7 EFM

Kituo bora cha radio 2015 E-fm leo kimekabidhi zawadi ya makapu yaliyosheheni bidhaa za vyakula kuelekea sikukuu ya Christmas Zoezi hili liliwataka wasikilizaji wa E-fm kusikiliza mlio wa Jingle Bells uliokuwa ukizunguka kwenye vipindi tofauti kisha kutambua muda ambao mlio huo umesikika, jina la kipindi husika na mtangazaji/watangazaji wa zamu waliokuwa studio muda huo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi makapu hayo kwa washindi Meneja wa vipindi E-fm Bwana Dickson Ponela (Big Dad Dizzo)...

 

10 years ago

Vijimambo

JUKWAA LANGU...Kipindi kipya cha radio

Photo Credits: RentalStages.comKipindi hiki ambacho kitakuwa kikikujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hiki ni kipindi cha kwanza kilichosikika Juni 22, 2015

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani