Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA MPIGANAJI MAULID BARAKA WAA KITENGE WA EFM

Leo ni Hepi Besdei ya Kuzaliwa mpiganaji Maulid Baraka wa Kitennge ambapo jezi yake namba 10 mgongoni anaivalia katika kituo cha EFM jijini Dar es salaam. Globu ya Jamii inampa hongera kwa siku yake hii muhimu na kumtakia apulize  mishumaa mingine 100, Insha Allah!

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU MAULID BARAKA WA KITENGE

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Mtangazaji nguli wa Michezo hapa nchini kupitia Radio EFM ya jijini Dar es salaam,Maulid Baraka wa Kitenge mwenye jezi nambari tisa mgongoni.Globu ya Jamii inamtakia kila la kheri mdau huyu katika siku yake hii na mwenyezi Mungu amjaalie maisha marefu.

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa MWANALIBENEKE MC BARAKA


Namshukru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.HAPPY BIRTHDAY TO ME!

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya miaka 80 ya kuzaliwa yanga leo

 Ankal naomba turushie hii kusherehekea siku yetu ya kuzaliwa, japo wewe ni Pan Africa, mwanetu mpotevu...

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa shadya shaibu chapuchapu leo

 Shadya Shaibu, akilishwa kipade cha keki na Baba yake mzazi Shaibu Chapuchapu, katika hafla yake ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wake Kigamboni Dar es Salaam usiku huu. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)   Shadya Chapuchapu (kulia) akimlisha baba yake mzazi Shadya Shaibu keki  Shadya Chapuchapu (kulia) akimlisha mama yake mzazi Marim Tindwa ,keki katika Hafla ya kuzaliwa iliyofanyika Kigamboni Dar es Salaam Mama mzazi wa Shadya Chapuchapu  Marim Tindwa (kushoto), akimlisha keki mwanaye...

 

11 years ago

Michuzi

LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA DIXON BUSAGAGA WA GLOBU YA JAMII MOSHI.

Leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa mpiganaji Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii mjini Moshi. Uongozi wa Michuzi Media Group unamtakia afya tele itayomuwezesha kuendeleza Libeneke kama afanyavyo kila kukicha huko mkoani Kilimanjaro. Vile vile anaaswa asisahau kumuweka Mungu mbele kwa kila jambo alipangalo na alifanyalo maana yeye ndiye mjuaji na mgawaji wa vyote. Hongera sana Dixon - Uongozi MMG

 

11 years ago

Michuzi

Mpiganaji maulid wa kitenge ndani ya old trafford

 Mtangazaji wa michezo wa Radio One na ITV Maulid Kitenge akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Manchester United Quintin Fortune (chini)  na Bryan Robinson (juu) kwenye uwanja wa Old Trafford muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya Manchester United na Norwich City

 

10 years ago

Michuzi

leo ni hepi besdei ya kuzaliwa mtoto Benedickt wa mdau ernest makulilo - waraka toka kwa baba mtu

 HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILO HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILO HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILOMy dearest son, BenediktToday is your 4thBirthday. It is another February 10th of the year. You were born at 5:42pm Pacific Standard Time. Your birth is a blessing and that’s why you are Benedikt. You have helped us to be better human beings by reflecting our lives as parents. Both Marie and I are thankful to God every day to have such a wonderful little guy.For...

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI hEPI BESDEI YA KUZALIWA DIXON BUSAGAGA WA BUSAGAGA'S ORIJINO BLOG NA GLOBU YA JAMII KANDA YA KASKAZINI.

Natanguliza shukrani zangu mbele ya Mwenyezi Mungu ambaye ameendelea kunipigania kila kukicha, lakini pia niwashukuru wazazi wangu Abdalah Mbaruku na Eustela Massatu kwa malezi mema ambayo mmekuwa mkinipatia hadi leo kijana wenu nimefikia katika umri huu.Furaha niliyo nayo leo ni sawa na ile ambayo wanayo wadogo zangu wapendwa Jane, Judi, Juma Busagaga , Ashura Mbaruku  na mtoto wangu mpendwa Jesca Dixon pamoja na ndugu zangu kaka, Dada, wajomba ,mashangazi, marafiki na wengine wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani