Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU MAULID BARAKA WA KITENGE

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Mtangazaji nguli wa Michezo hapa nchini kupitia Radio EFM ya jijini Dar es salaam,Maulid Baraka wa Kitenge mwenye jezi nambari tisa mgongoni.Globu ya Jamii inamtakia kila la kheri mdau huyu katika siku yake hii na mwenyezi Mungu amjaalie maisha marefu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA MPIGANAJI MAULID BARAKA WAA KITENGE WA EFM

Leo ni Hepi Besdei ya Kuzaliwa mpiganaji Maulid Baraka wa Kitennge ambapo jezi yake namba 10 mgongoni anaivalia katika kituo cha EFM jijini Dar es salaam. Globu ya Jamii inampa hongera kwa siku yake hii muhimu na kumtakia apulize  mishumaa mingine 100, Insha Allah!

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa MWANALIBENEKE MC BARAKA


Namshukru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.HAPPY BIRTHDAY TO ME!

 

11 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mdau Ronnie Mtawali

Leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa  mdau Ronnie  Mtawali. 
Globu ya Jamii inamtakia afya nyema na maisha ya furaha kwa siku hii. Ankal ana furaha na fahari kubwa kuwa mmoja wa marafiki wa karibu wa Ronnie ambaye miaka takriban 20 iliyopita alimpigia picha zake za harusi. Na kama zawadi anamwambia Ronnie kwamba ile shilingi Elfu kumi na mbili (12,000/- Tshs) anayomdai ya album hadi leo anamsamehe. Msamaha huo unakuja kwa kuona Ronnie amedumisha ndoa yake hadi leo bila kutetereka...

 

11 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mdau Krantz Mwantepele

 Leo tarehe 19 mwezi wa saba ni siku ya kuzaliwa mdau Krantz Mwantepele mwanzilishi na  mkurungezi wa  ufundi  mwanaharakati mzalendo media ambao ni wamiliki wa blog tatu mwanaharakati mzalendo blog, harakati180 na 255 trending news   pia ni Mkurungezi wa masoko wa KAJO ITECH  kampuni ya kizalendo inayohusika na it ,printing na event managementNapenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana nao kila siku katika  ujenzi wa ktaifa katika kuhabarishana na pia kutoa elimu kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU ANDREW CHALE


 Usiku wa Oktoba 21 ni siku yangu muhimu sana kwani, ndiyo niliyozaliwa. Hii ilikuwa ni majira ya saa 3 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ni mwaka 1985.Leo nina furaha isiyo kifani kwa kuweza kusherehekea  siku yangu hii ya kuzaliwa… hakika Mungu ni mkuu nawashukuru nyote kwa kushirikiana nami bega kwa bega katika kipindi chote cha maisha yangu nawatakia kila lakheri pia.Najivunia kua mtanzania ila ndani  ya miaka hii yote  nakumbuka mengi na nimepitia mengi ikiwemo milima na mabonde...

 

10 years ago

Michuzi

leo ni hepi besdei ya kuzaliwa mtoto Benedickt wa mdau ernest makulilo - waraka toka kwa baba mtu

 HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILO HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILO HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILOMy dearest son, BenediktToday is your 4thBirthday. It is another February 10th of the year. You were born at 5:42pm Pacific Standard Time. Your birth is a blessing and that’s why you are Benedikt. You have helped us to be better human beings by reflecting our lives as parents. Both Marie and I are thankful to God every day to have such a wonderful little guy.For...

 

10 years ago

Michuzi

Hepi Besdei ya kuzaliwa mdau Hamisi Ally Hamisi

Leo Jumanne 24.March 2014 ni siku ya kuzaliwa mdau Hamisi Ally Hamisi tunamuombea kila la heri,Afya njema na maisha marefu,Kijana Hamisi Ally Hamisializaliwa siku kama ya leo 24 March, mtaa wa Mchikichi/Kongo st.18 Kariakoo jijini Dar es salaam,akiwa mtoto wa kiume wa aliyekuwa mchezaji kandanda wa timu za Benfrika, Kongo United "Shetani Wekundu" marehem Bw.Ally Hamisi Ally(RIP) aka De Stefano.
Hongera sana kijana Hamisi Ally Hamisi kwa siku yako ya Kuzaliwa na endeleza kipaji chako cha...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA OTHMAN MICHUZI

Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba moja katika umri wangu, kwani bila yeye hakuna kitu chochote kinachoweza kufanyika.
pia nitakuwa ni mchoyo wa Fadhila iwapo sitotoa shukrani za kipekee kwa ndugu zangu woote (wakiwemo wazazi wangu wawili na akina  Ankal Issa Michuzi, Ahmad Michuzi, Karim Michuzi, Ramadhan Michuzi, Ismail...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE WA DEMASHO

Mwanalibeneke wa Demasho.com Hamza Juma akiwa anawajibika , leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa .


Wahenga wanasema maisha ni Safari na siku hazigandi, nakama maisha ni safari basi kila kukicha twakumbana na masaibu ya kukatisha tamaa  ya kukupa moyo wa kusonga lakini jibu pekee ni kupambana nayo tu sikurudi nyuma. Nakama siku hazigadi basi ni dhahiri shairi kuwa umri unasonga siku hadi siku na huwezi kuurudisha nyuma.
Basi katika siku hii muhimu ya kukumbuka kuzaliwa kwako, NAPENDA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani