HEPI BESDEI YA KUZALIWA OTHMAN MICHUZI

Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba moja katika umri wangu, kwani bila yeye hakuna kitu chochote kinachoweza kufanyika.
pia nitakuwa ni mchoyo wa Fadhila iwapo sitotoa shukrani za kipekee kwa ndugu zangu woote (wakiwemo wazazi wangu wawili na akina Ankal Issa Michuzi, Ahmad Michuzi, Karim Michuzi, Ramadhan Michuzi, Ismail...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi11 Jan
HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE WA DEMASHO
Wahenga wanasema maisha ni Safari na siku hazigandi, nakama maisha ni safari basi kila kukicha twakumbana na masaibu ya kukatisha tamaa ya kukupa moyo wa kusonga lakini jibu pekee ni kupambana nayo tu sikurudi nyuma. Nakama siku hazigadi basi ni dhahiri shairi kuwa umri unasonga siku hadi siku na huwezi kuurudisha nyuma.
Basi katika siku hii muhimu ya kukumbuka kuzaliwa kwako, NAPENDA...
11 years ago
Michuzi
hepi besdei ya kuzaliwa MWANALIBENEKE MC BARAKA

Namshukru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.HAPPY BIRTHDAY TO ME!
11 years ago
Michuzi.png)
HEPI BESDEI YA KUZALIWA ANKAL SAMIYA
.png)

11 years ago
Michuzi.jpg)
HEPI BESDEI YA YA KUZALIWA MTOTO AARON
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
hepi besdei ya miaka 80 ya kuzaliwa yanga leo
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
hepi besdei ya kuzaliwa mhe. samwel sitta
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi18 Mar
hepi besdei ya kuzaliwa mdau Ronnie Mtawali

Globu ya Jamii inamtakia afya nyema na maisha ya furaha kwa siku hii. Ankal ana furaha na fahari kubwa kuwa mmoja wa marafiki wa karibu wa Ronnie ambaye miaka takriban 20 iliyopita alimpigia picha zake za harusi. Na kama zawadi anamwambia Ronnie kwamba ile shilingi Elfu kumi na mbili (12,000/- Tshs) anayomdai ya album hadi leo anamsamehe. Msamaha huo unakuja kwa kuona Ronnie amedumisha ndoa yake hadi leo bila kutetereka...
10 years ago
Michuzi
hepi besdei ya kuzaliwa mtoto Sameer Kikwappe

10 years ago
Michuzi.jpg)