Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HEPI BESDEI YA KUZALIWA ANKAL SAMIYA

Ing. Ally Mlunga na Mai waifu wake Swabra Ngomoi, wanayofuraha kusherehekea pamoja na binti yao siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka miwili. Kwa pamoja wanamtakia maisha mema yenye mafanikio.Besdei gel Samiya akisaidiwa na kaka yake (Salum) kugawanya Keki ya besdei yake ili yeye na waalikwa wengine wapate kuila. Mambo ya kata keeeki tuleeeeeee... kata keeki tuleeeeee...!!!Besdei gel Samiya akipewa kampani na kaka yake Salum katika siku yake hii ya furaha.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA YA KUZALIWA MTOTO AARON

AARON KUTOKA ARUSHA AMEFIKISHA UMRI WA MWAKA MMOJA TAREHE 27 FEBURUARY, 2014, ASHUKURIWE MUNGU,NA PIA ANATOA SALAAM ZA ZA UPENDO KWA WAZAZI WAKE,KAKA ZAKE DAVID NA MARK NA WADAU WOTE WA BLOG YA JAMII   MDAU FRANK, ARUSHA

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa MWANALIBENEKE MC BARAKA


Namshukru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.HAPPY BIRTHDAY TO ME!

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA OTHMAN MICHUZI

Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba moja katika umri wangu, kwani bila yeye hakuna kitu chochote kinachoweza kufanyika.
pia nitakuwa ni mchoyo wa Fadhila iwapo sitotoa shukrani za kipekee kwa ndugu zangu woote (wakiwemo wazazi wangu wawili na akina  Ankal Issa Michuzi, Ahmad Michuzi, Karim Michuzi, Ramadhan Michuzi, Ismail...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE WA DEMASHO

Mwanalibeneke wa Demasho.com Hamza Juma akiwa anawajibika , leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa .


Wahenga wanasema maisha ni Safari na siku hazigandi, nakama maisha ni safari basi kila kukicha twakumbana na masaibu ya kukatisha tamaa  ya kukupa moyo wa kusonga lakini jibu pekee ni kupambana nayo tu sikurudi nyuma. Nakama siku hazigadi basi ni dhahiri shairi kuwa umri unasonga siku hadi siku na huwezi kuurudisha nyuma.
Basi katika siku hii muhimu ya kukumbuka kuzaliwa kwako, NAPENDA...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU ANDREW CHALE


 Usiku wa Oktoba 21 ni siku yangu muhimu sana kwani, ndiyo niliyozaliwa. Hii ilikuwa ni majira ya saa 3 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ni mwaka 1985.Leo nina furaha isiyo kifani kwa kuweza kusherehekea  siku yangu hii ya kuzaliwa… hakika Mungu ni mkuu nawashukuru nyote kwa kushirikiana nami bega kwa bega katika kipindi chote cha maisha yangu nawatakia kila lakheri pia.Najivunia kua mtanzania ila ndani  ya miaka hii yote  nakumbuka mengi na nimepitia mengi ikiwemo milima na mabonde...

 

9 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MTOTO BRAYDEN MOSES

 FAMILIA YA BWANA NA  BIBI MOSES MWANGENDE WA KIMARA B, WANAPENDA KUMPONGEZA  NA KUMTAKIA MTOTO WAO MPENDWA  BRAYDEN MOSES MWANGENDE  SIKU YA LEO TAREHE 05.01.2016 KWA  KUTIMIZA MIAKA  NNE(4),WAZAZI WAKE  WANAMTAKIA AFYA NJEMA NA MWENYEZI  MUNGU AMLINDE.

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE FAUSTINE RUTA


Leo tarehe 24 mwezi wa tisa ni siku ya kuzaliwa kwa mpiganaji mwanalibeneke na mdau Faustine Ruta wa bukobasports.com.
"Namushukuru Mungu kwa Zawadi ya Uhai, afya njema na kunijalia Mpaka sasa hapa nilipo.Napenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana kila siku katika ujenzi wa Taifa katika kuhabarisha. 
Pia natoa shukrani kubwa kwa wadau, Wanalibeneke wenzangu ndugu na marafiki wanao endelea kuniunga mkono." Asanteni sana !

 

11 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mdau Ronnie Mtawali

Leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa  mdau Ronnie  Mtawali. 
Globu ya Jamii inamtakia afya nyema na maisha ya furaha kwa siku hii. Ankal ana furaha na fahari kubwa kuwa mmoja wa marafiki wa karibu wa Ronnie ambaye miaka takriban 20 iliyopita alimpigia picha zake za harusi. Na kama zawadi anamwambia Ronnie kwamba ile shilingi Elfu kumi na mbili (12,000/- Tshs) anayomdai ya album hadi leo anamsamehe. Msamaha huo unakuja kwa kuona Ronnie amedumisha ndoa yake hadi leo bila kutetereka...

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mhe. samwel sitta

 Watoto wa Mhe Samwel John Sitta wana furaha ya kusherehekea miaka 72 ya kuzaliwa kwa baba yao mpendwa. Wanatoa salamu za heri, upendo na furaha kwa mzee wao kufikisha miaka hiyo akiwa buheri wa afya na wanamtakia azime tena mishumaa mingine zaidi huku akiendelea kuwapenda kama wanavyompenda. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani