Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE FAUSTINE RUTA


Leo tarehe 24 mwezi wa tisa ni siku ya kuzaliwa kwa mpiganaji mwanalibeneke na mdau Faustine Ruta wa bukobasports.com.
"Namushukuru Mungu kwa Zawadi ya Uhai, afya njema na kunijalia Mpaka sasa hapa nilipo.Napenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana kila siku katika ujenzi wa Taifa katika kuhabarisha. 
Pia natoa shukrani kubwa kwa wadau, Wanalibeneke wenzangu ndugu na marafiki wanao endelea kuniunga mkono." Asanteni sana !

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa MWANALIBENEKE MC BARAKA


Namshukru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.HAPPY BIRTHDAY TO ME!

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE WA DEMASHO

Mwanalibeneke wa Demasho.com Hamza Juma akiwa anawajibika , leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa .


Wahenga wanasema maisha ni Safari na siku hazigandi, nakama maisha ni safari basi kila kukicha twakumbana na masaibu ya kukatisha tamaa  ya kukupa moyo wa kusonga lakini jibu pekee ni kupambana nayo tu sikurudi nyuma. Nakama siku hazigadi basi ni dhahiri shairi kuwa umri unasonga siku hadi siku na huwezi kuurudisha nyuma.
Basi katika siku hii muhimu ya kukumbuka kuzaliwa kwako, NAPENDA...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE HENRY KAPINGA MMILIKI WA KAPINGAZ BLOG

Henry Kapinga, mmiliki wa KAPINGAZ Blog
Leo tarehe 08/12 ndio siku ambayo ukurasa wa historia ya maisha yangu ulifunguliwa rasmi, ni siku ambayo nilizaliwa, napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniweka mpaka leo na vilevile kuwashukuru wazazi wangu kwa kunilea katika maisha yangu ya utotoni mpaka nilipoanza kujitegemea. 
Napenda kuchukua fursa hii pia kuwashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kunisapoti kwa mambo mbalimbali ili mradi nifikie pale...

 

11 years ago

Michuzi

happy besdei ya kuzaliwa mwanalibeneke edwin moshi leo


Wadau, Nakushukuru mwenyezi MUNGU kwa kunifikisha siku hii ya leo Alhamisi Aprili 24 ambapo naadhimisha siku ya kuzaliwa, ni kwa neema yako tu mimi kufika hapa nilipo, nakuomba unisaidie kwa kila kitu katika maisha yangu nizidi kukutumikia vyema.  Nawashukuru wanalibeneke wenzangu wote, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kwa kuniunga mkono katika siku hii muhimu kwangu,  Asanteni Sana  Edwin Moshi,  C.E.O Eddy Blog

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA OTHMAN MICHUZI

Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba moja katika umri wangu, kwani bila yeye hakuna kitu chochote kinachoweza kufanyika.
pia nitakuwa ni mchoyo wa Fadhila iwapo sitotoa shukrani za kipekee kwa ndugu zangu woote (wakiwemo wazazi wangu wawili na akina  Ankal Issa Michuzi, Ahmad Michuzi, Karim Michuzi, Ramadhan Michuzi, Ismail...

 

11 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA YA KUZALIWA MTOTO AARON

AARON KUTOKA ARUSHA AMEFIKISHA UMRI WA MWAKA MMOJA TAREHE 27 FEBURUARY, 2014, ASHUKURIWE MUNGU,NA PIA ANATOA SALAAM ZA ZA UPENDO KWA WAZAZI WAKE,KAKA ZAKE DAVID NA MARK NA WADAU WOTE WA BLOG YA JAMII   MDAU FRANK, ARUSHA

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA ANKAL SAMIYA

Ing. Ally Mlunga na Mai waifu wake Swabra Ngomoi, wanayofuraha kusherehekea pamoja na binti yao siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka miwili. Kwa pamoja wanamtakia maisha mema yenye mafanikio.Besdei gel Samiya akisaidiwa na kaka yake (Salum) kugawanya Keki ya besdei yake ili yeye na waalikwa wengine wapate kuila. Mambo ya kata keeeki tuleeeeeee... kata keeki tuleeeeee...!!!Besdei gel Samiya akipewa kampani na kaka yake Salum katika siku yake hii ya furaha.

 

11 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mdau Krantz Mwantepele

 Leo tarehe 19 mwezi wa saba ni siku ya kuzaliwa mdau Krantz Mwantepele mwanzilishi na  mkurungezi wa  ufundi  mwanaharakati mzalendo media ambao ni wamiliki wa blog tatu mwanaharakati mzalendo blog, harakati180 na 255 trending news   pia ni Mkurungezi wa masoko wa KAJO ITECH  kampuni ya kizalendo inayohusika na it ,printing na event managementNapenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana nao kila siku katika  ujenzi wa ktaifa katika kuhabarishana na pia kutoa elimu kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani