Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


happy besdei ya kuzaliwa mwanalibeneke edwin moshi leo


Wadau, Nakushukuru mwenyezi MUNGU kwa kunifikisha siku hii ya leo Alhamisi Aprili 24 ambapo naadhimisha siku ya kuzaliwa, ni kwa neema yako tu mimi kufika hapa nilipo, nakuomba unisaidie kwa kila kitu katika maisha yangu nizidi kukutumikia vyema.  Nawashukuru wanalibeneke wenzangu wote, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kwa kuniunga mkono katika siku hii muhimu kwangu,  Asanteni Sana  Edwin Moshi,  C.E.O Eddy Blog

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa MWANALIBENEKE MC BARAKA


Namshukru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi Aug 23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.Natoa shukrani kubwa kwa wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.HAPPY BIRTHDAY TO ME!

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE WA DEMASHO

Mwanalibeneke wa Demasho.com Hamza Juma akiwa anawajibika , leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa .


Wahenga wanasema maisha ni Safari na siku hazigandi, nakama maisha ni safari basi kila kukicha twakumbana na masaibu ya kukatisha tamaa  ya kukupa moyo wa kusonga lakini jibu pekee ni kupambana nayo tu sikurudi nyuma. Nakama siku hazigadi basi ni dhahiri shairi kuwa umri unasonga siku hadi siku na huwezi kuurudisha nyuma.
Basi katika siku hii muhimu ya kukumbuka kuzaliwa kwako, NAPENDA...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE FAUSTINE RUTA


Leo tarehe 24 mwezi wa tisa ni siku ya kuzaliwa kwa mpiganaji mwanalibeneke na mdau Faustine Ruta wa bukobasports.com.
"Namushukuru Mungu kwa Zawadi ya Uhai, afya njema na kunijalia Mpaka sasa hapa nilipo.Napenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana kila siku katika ujenzi wa Taifa katika kuhabarisha. 
Pia natoa shukrani kubwa kwa wadau, Wanalibeneke wenzangu ndugu na marafiki wanao endelea kuniunga mkono." Asanteni sana !

 

11 years ago

Michuzi

LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA DIXON BUSAGAGA WA GLOBU YA JAMII MOSHI.

Leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa mpiganaji Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii mjini Moshi. Uongozi wa Michuzi Media Group unamtakia afya tele itayomuwezesha kuendeleza Libeneke kama afanyavyo kila kukicha huko mkoani Kilimanjaro. Vile vile anaaswa asisahau kumuweka Mungu mbele kwa kila jambo alipangalo na alifanyalo maana yeye ndiye mjuaji na mgawaji wa vyote. Hongera sana Dixon - Uongozi MMG

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE HENRY KAPINGA MMILIKI WA KAPINGAZ BLOG

Henry Kapinga, mmiliki wa KAPINGAZ Blog
Leo tarehe 08/12 ndio siku ambayo ukurasa wa historia ya maisha yangu ulifunguliwa rasmi, ni siku ambayo nilizaliwa, napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniweka mpaka leo na vilevile kuwashukuru wazazi wangu kwa kunilea katika maisha yangu ya utotoni mpaka nilipoanza kujitegemea. 
Napenda kuchukua fursa hii pia kuwashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kunisapoti kwa mambo mbalimbali ili mradi nifikie pale...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanalibeneke Edwin Moshi ndani ya Radio Wüste Welle Ujerumani

cwp photography :: www.wohlwill.de

Redio Wüste Welle ni kituo cha redio ya kijamii kilichopo kwenye mji wa Tübingen nchini Ujerumani ambacho kimekuwa kikijihusisha na shughuli za kijamii ikiwemo kutoa mafunzo ya vitu mbalimbali vinavyohusiana na taaluma ya uandishi wa habari. Mdau Edwin Moshi alikuwa ni mmoja wapo kati ya waliopata hiyo fursa ya kutembelea kituo hicho cha redio. Mbali na shughuli zake za utangazaji wa redio pia ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa EDDY BLOG cwp photography :: www.wohlwill.de cwp photography :: www.wohlwill.de

 

10 years ago

Michuzi

Mwanalibeneke edwin moshi atembelea redio ya kijamii iliyopo kwenye mji wa Tübingen, Ujerumani

 Redio Wüste Welle ni redio ya kijamii iliyopo kwenye mji wa Tübingen nchini Ujerumani ambacho kimekuwa kikijihusisha na shughuli za kijamii ikiwemo kutoa mafunzo ya vitu mbalimbali vinavyohusiana na taaluma ya uandishi wa habari. Mwanalibeneke Edwin Moshi alikuwa ni mmoja wapo kati ya waliopata hiyo fursa Mbali na shughuli zake za utangazaji wa redio pia ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa EDDY BLOG

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya miaka 80 ya kuzaliwa yanga leo

 Ankal naomba turushie hii kusherehekea siku yetu ya kuzaliwa, japo wewe ni Pan Africa, mwanetu mpotevu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani