LEO NI hEPI BESDEI YA KUZALIWA DIXON BUSAGAGA WA BUSAGAGA'S ORIJINO BLOG NA GLOBU YA JAMII KANDA YA KASKAZINI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-bMVPKgbwD5A/VOzvM0sxQ8I/AAAAAAAAMAA/9cZxoUFDZzo/s72-c/197358_613672441983620_915577888_n.jpg)
Natanguliza shukrani zangu mbele ya Mwenyezi Mungu ambaye ameendelea kunipigania kila kukicha, lakini pia niwashukuru wazazi wangu Abdalah Mbaruku na Eustela Massatu kwa malezi mema ambayo mmekuwa mkinipatia hadi leo kijana wenu nimefikia katika umri huu.
Furaha niliyo nayo leo ni sawa na ile ambayo wanayo wadogo zangu wapendwa Jane, Judi, Juma Busagaga , Ashura Mbaruku na mtoto wangu mpendwa Jesca Dixon pamoja na ndugu zangu kaka, Dada, wajomba ,mashangazi, marafiki na wengine wote...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania