Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Exclusive: Maulid Kitenge wa Radio One ahamia Radio EFM

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam leo.
Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013,inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.
“Mpaka sasa Maulidi Kitenge...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAULID KITENGE ATUA RADIO EFM RASMI

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo, Maulidi Baraka Kitenge akisaini mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM, Dickson Ponela.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Maulid Kitenge aacha kazi Radio One na kujiunga na EFM

Mtangazaji mkongwe wa michezo kwenye kituo cha redio cha Radio One Stereo, Maulid Kitenge ameacha kazi na kwenye kituo hicho na kujiunga na kituo kipya cha redio, EFM. Kitenge akisaini mkatana wa kujiunga na EFM, kushoto ni Mkurugenzi wa Vipindi, Dickson ‘Dizzo’ Ponela Katika barua yake ya kujiuzulu, Kitenge ambaye amefanya kazi kwenye kituo hicho […]

 

10 years ago

Bongo5

EFM yavunja ngome ya kipindi cha michezo cha Radio One, yawachukua Maulid Kitenge na Omary Katanga

Kipindi cha michezo cha Radio One ‘Spoti Leo’ kimepata pigo kali baada ya watangazaji wake mahiri, Maulid Kitenge na Omary Katanga kuhamia EFM 93.7 ya Dar es Salaam. Maulid Kitenge na Omary Katanga enzi wakiwa Radio One Kuondoka ghafla kwa watangazaji hao waliokifanya kipindi cha ‘Spoti Leo’ kuwa kipindi bora zaidi cha michezo nchini kutokana […]

 

10 years ago

Michuzi

Maulid Kitenge abwaga manyanga ITV na Radio one leo

MTANGAZAJI machachari wa habari za michezo kupitia kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One, Maulid Baraka Kitenge (pichani) leo kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza rasmi kubwaga manyanga (kuacha kazi) katika Kampuni hiyo aliyokuwa akiifanyia kazi baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 14. chini ni ujumbe wake aliouandika kupitia akaunti yake ya Twitter.

 

10 years ago

GPL

KITENGE AONDOKA RADIO ONE

Maulid Kitenge. MTANGAZAJI wa michezo wa Radio One Stereo, Maulid Kitenge kupitia akaunti yake ya Twitter hivi punde ametangaza kuondoka rasmi katika radio hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 14. Kupitia Twitter, Kitenge ameandika hivi:…

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA MPIGANAJI MAULID BARAKA WAA KITENGE WA EFM

Leo ni Hepi Besdei ya Kuzaliwa mpiganaji Maulid Baraka wa Kitennge ambapo jezi yake namba 10 mgongoni anaivalia katika kituo cha EFM jijini Dar es salaam. Globu ya Jamii inampa hongera kwa siku yake hii muhimu na kumtakia apulize  mishumaa mingine 100, Insha Allah!

 

10 years ago

Michuzi

mtangazaji mahiri wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba ahamia DW Ujerumani

Aliyekuwa mtangazaji wa ITV na Radio One Isaack Muyenzwa Gamba (wa pili kulia) akiwa na watangazaji wakongwe wa DW jijini Bonn, Ujerumani alikohamia hivi karibuni. Wengine kutoka kulia ni Mohamed Dahman, Sudi Mnete, Sekioni Kitojo, Abdul Mtulya na mdau.

 

9 years ago

GPL

EFM RADIO YAANDAA SHINDANO

Ofisa habari wa Efm Radio, Lydia Moyo akizunguza jambo kabla ya mkutano na wanahabari. Kutoka kushoto ni Ofisa habari wa Efm, Lydia Moyo, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano wa Efm, Dennis Ssebo, na Dina Marios Mtayarishaji wa kipindi hicho.…

 

10 years ago

GPL

WATANGAZAJI WA EFM RADIO WAJIACHIA

Team Nzima ambayo inaongoza kipindi cha ya sports headquaters ambacho kinaruka kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu mpaka saa sita mchana (Kweli wamechizika).
RDJ X5 kutoka EFM akiwa na mchizi wake Kingwendu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani