Maulid Kitenge abwaga manyanga ITV na Radio one leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-MjLgVgTbo3c/U_IdytVjrKI/AAAAAAAGAhw/724GtuFNhyM/s72-c/kitenge%2Bmau.jpg)
MTANGAZAJI machachari wa habari za michezo kupitia kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One, Maulid Baraka Kitenge (pichani) leo kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza rasmi kubwaga manyanga (kuacha kazi) katika Kampuni hiyo aliyokuwa akiifanyia kazi baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 14. chini ni ujumbe wake aliouandika kupitia akaunti yake ya Twitter.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziExclusive: Maulid Kitenge wa Radio One ahamia Radio EFM
Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013,inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.
“Mpaka sasa Maulidi Kitenge...
10 years ago
GPLMAULID KITENGE ATUA RADIO EFM RASMI
10 years ago
Bongo518 Aug
Picha: Maulid Kitenge aacha kazi Radio One na kujiunga na EFM
10 years ago
Bongo521 Aug
EFM yavunja ngome ya kipindi cha michezo cha Radio One, yawachukua Maulid Kitenge na Omary Katanga
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4tVVZIywkLs/VRALu-lD4QI/AAAAAAAHMag/BAFPsYg4ZaA/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA MPIGANAJI MAULID BARAKA WAA KITENGE WA EFM
![](http://2.bp.blogspot.com/-4tVVZIywkLs/VRALu-lD4QI/AAAAAAAHMag/BAFPsYg4ZaA/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Kikwete abwaga manyanga
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete amekubaliana na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwamba Bunge Maalumu la Katiba, liishie Oktoba 4, 2014. Kurejea kwa bunge hilo kutategemea ridhaa ya rais...
11 years ago
Mwananchi09 May
Pluijm abwaga manyanga
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Paulo Wanchope abwaga manyanga
9 years ago
Habarileo13 Nov
Matola abwaga manyanga Simba
HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, amechukua uamuzi huo kutokana na kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu wake raia wa Uingereza, Dylan Kerr.