Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANGAZAJI WA EFM RADIO WAJIACHIA

Team Nzima ambayo inaongoza kipindi cha ya sports headquaters ambacho kinaruka kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu mpaka saa sita mchana (Kweli wamechizika).
RDJ X5 kutoka EFM akiwa na mchizi wake Kingwendu.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Exclusive: Maulid Kitenge wa Radio One ahamia Radio EFM

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam leo.
Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013,inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.
“Mpaka sasa Maulidi Kitenge...

 

9 years ago

GPL

EFM RADIO YAANDAA SHINDANO

Ofisa habari wa Efm Radio, Lydia Moyo akizunguza jambo kabla ya mkutano na wanahabari. Kutoka kushoto ni Ofisa habari wa Efm, Lydia Moyo, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano wa Efm, Dennis Ssebo, na Dina Marios Mtayarishaji wa kipindi hicho.…

 

10 years ago

GPL

HAPPY BIRTHDAY 93.7 Efm RADIO!

Baadhi ya vijana wa kazi wa Efm Radio Kwa moyo mkunjufu kabisa, nina penda kuwapongeza sana 93.7 Efm Radio kwa kutimiza mwaka mmoja tangu waanze kurusha matangazo yao hewani. Nina sababu nyingi za kuwapongeza lakini wakati wa kugonga “glass za cheers” niseme hivi; Kwanza kama unatafuta mifano halisi ya ufafanuzi wa mpango wa serikali wa matokeo makubwa sasa (BRN) mimi nafikiri EFM ni mfano halisi. Kwa nini nasema...

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

WAKUU WA GLOBAL WATEMBELEA EFM RADIO

Mkurugenzi wa Global Publishers, Marsha Bukumbi  ( wa pili toka kushoto), Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho ( wa pili kutoka kulia) wakiongea na Mkurugenzi wa Radio EFM,  Francis  Ciza ( Majey) (kulia) na  Meneja wa EFM, Geoffrey Ndawula ( kushoto). Marsha Bukumbi  na Abdallah Mrisho wakisalimiana na mtangazaji wa EFM, Sostenes Ambakisye (kushoto aliyekaa).… ...

 

10 years ago

GPL

MAULID KITENGE ATUA RADIO EFM RASMI

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo, Maulidi Baraka Kitenge akisaini mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM, Dickson Ponela.…

 

10 years ago

GPL

EFM RADIO YAZUNGUMZA NA WADAU WA HABARI ZA MITANDAO

Mtangazaji wa Radio 93.7 EFM ya jijini Dar es Salaam, Samira Kiango (pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Habari za Mitandao, Clarence Mulisa kutoka Global Publishers & General Enterprises Ltd (kulia), Fredrick Bundara kutoka Bongo 5 (pili kushoto) pamoja na Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa Blog chini ya Michuzi Media Group, mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mezani, kilichokuwa kikijadili suala zima la...

 

11 years ago

GPL

PENNY AONYESHA MBWEMBWE ZAKE NDANI YA EFM RADIO

Mtangazaji wa kipindi cha Genge cha radio EFM, Penniel Mwingilwa 'VJ Penny' akifanya vitu vyake studio juzi Jumamatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani