Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPPY BIRTHDAY 93.7 Efm RADIO!

Baadhi ya vijana wa kazi wa Efm Radio Kwa moyo mkunjufu kabisa, nina penda kuwapongeza sana 93.7 Efm Radio kwa kutimiza mwaka mmoja tangu waanze kurusha matangazo yao hewani. Nina sababu nyingi za kuwapongeza lakini wakati wa kugonga “glass za cheers” niseme hivi; Kwanza kama unatafuta mifano halisi ya ufafanuzi wa mpango wa serikali wa matokeo makubwa sasa (BRN) mimi nafikiri EFM ni mfano halisi. Kwa nini nasema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY 93.7 EFM


Kwa moyo mkunjufu kabisa, nina penda kuwapongeza sana kituo cha radio cha 93.7 EFM kwa kutimiza mwaka mmoja tangu waanze kurusha matangazo yao hewani. Nina sababu nyingi za kuwapongeza lakini wakati wa kugonga “glass za cheers” niseme hivi; Kwanza kama unatafuta mifano halisi ya ufafanuzi wa mpango waserikali wa matokeo makubwa sasa (BRN) mimi nafikiri EFM ni mfano halisi.  Kwa nini nasema hivi?   Yaami ndani ya siku 365 tu, radio mpya imeweza kufikia nafasi ya pili kwa kusikilizwa na...

 

10 years ago

Michuzi

Exclusive: Maulid Kitenge wa Radio One ahamia Radio EFM

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam leo.
Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013,inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.
“Mpaka sasa Maulidi Kitenge...

 

10 years ago

GPL

WATANGAZAJI WA EFM RADIO WAJIACHIA

Team Nzima ambayo inaongoza kipindi cha ya sports headquaters ambacho kinaruka kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu mpaka saa sita mchana (Kweli wamechizika).
RDJ X5 kutoka EFM akiwa na mchizi wake Kingwendu.…

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

GPL

EFM RADIO YAANDAA SHINDANO

Ofisa habari wa Efm Radio, Lydia Moyo akizunguza jambo kabla ya mkutano na wanahabari. Kutoka kushoto ni Ofisa habari wa Efm, Lydia Moyo, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano wa Efm, Dennis Ssebo, na Dina Marios Mtayarishaji wa kipindi hicho.…

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY TO MY ONE AND ONLY

Mohammed Matope from MarylandHappy Birthday to the world’s best husband. You are my anchor and my shield and I am blessed to be your wife. I pray that God will grant you a long life and happiness so that we will be together and celebrate many more birthdays to come. I love you so much.

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY TO YOU

Michelle Muhoka kutoka Maryland, USASisi Baba, Kaka, Wadogo wako, Mashangazi. Wajomba, ndugu na jamaa tunakutakia Kila la kheri katika maisha yako wote kwa pamoja tunasema Happy Birthday to you

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY MO

MODEWJI BLOG TEAM : Thanking you for being a great boss just isn't enough for your special day! Thank you for inspiring us to be our best! Happy birthday, boss!
And below is a small gift from us!
Please join us to wish him a Happy Birthday by follow him on his twitter @moodewji and instagram @moodewji

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY

Gloria Sakwa wa VA.Vijimambo Team Wish You Best wishes on your birthday and throughout the coming year.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani