Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO

 Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba mjini Morogoro.
Tuo8January ni kampeni maalum iliyozinduliwa hivi karibuni ikiwa na lengo la kuwahamasisha vijana kujitokeza kushiriki mchakato wa uchaguzi  wa viongozi mbalimbali wanaowataka na wanaowaamini wana uwezo wa kuleta mabadiliko ya kinidhamu kwenye masuala ya msingi ya Taifa ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8 JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO

Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba mjini Morogoro. Msanii mwingine wa hip hop katika anga ya Bongofleva,ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye muziki huo,Niki wa Pili akitumbuiza katika jukwaa la wazi la Tuo8Januari… ...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KRISMASI LAFANA UWANJA WA JAMHURI, MOROGORO‏

Mwimbaji Edson Mwasabwite akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki wake wakati akitumbuiza kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana jioni.   Boniface Mwaitege naye akawanyanyua kwenye viti mashabiki waliojitokeza kushuhudia tamasha hilo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Bonanza la Tigo Corporate Event lafana mjini Morogoro

PICHA NO.6

Kikundi cha burudani cha Da Hustler Dancers cha mkoani Morogoro kikifanya onyesho katika Bonanza la Tigo Corporate Event lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Solomon Mahlangu Morogoro.

PICHA NO7

Mchezaji wa timu ya netball ya St. Joseph, Salome John akifunga doli katika mchezo wao dhidi ya timu ya tigo. Kwnye mchezo huo Tigo walilala kwa vikapu 5-0.

PICHA NO.4

Meneja wa Tigo mkoa wa Morogoro na Tanga, Abasi Abel akisalimiana na wachezaji wa timu ya Polisi Chipolopolo katika ufunguzi wa bonanza la...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KUZINDUA VIDEO YA MUUNGANO LAFANA MJINI DODOMA

Msanii wa mziki alietokea EBSS, Menina na Rachael wakifatilia uzinduzi.
Mwanamziki wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (katikati) na Kapteni Komba (kulia).…

 

10 years ago

CloudsFM

FID Q AANZISHA KAMPENI YA VIJANA IITWAYO TUONANE “JANUARY”

Staa wa Hip Hop Bongo,Farid Kubanda ‘’FID Q’ ambaye amekuwa akifanya project nyingi za kijamii ‘’ujamaa hiphop darasa’’ ambayo inawapa nafasi vijana kufahamishwa kuhusu nguzo za hiphop, ana online tv Cheusi Dawa Tv, na sasa hivi Fid Q ana project mpya kwa ajili ya kuwaamsha vijana, kampeni inaitwa Tuonane Januari.

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA LEO! WASANII WA ORIGINAL COMEDY WAFUNIKA MJINI BUKOBA!

Mpoki(kulia) akitamba!!Wasanii wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9, 2014. Nani zaidi??Mwana-FA akiimba mbele ya umati wa wakazi wa Bukoba leo kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika leo Jumapili jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kiingilio ilikuwa ni wewe kuvaa uhusika wa Tigo!!Mwana-FAKwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA LAFANYIKA MJINI MOROGORO

 Baba Levo na Peter Msechu wakipagawisha jukwaani  kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia huku akiwa amebebwa na mwenzake.  Umati uliyokuwa umefurika kwenye Tamasha la  Fiesta 2014, ukishangilia moja ya burudani zilizokuwa zikitolewa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.  Makomando wakiwajibika jukwaani hapo. Ommy Dimpoz akiimba na mmoja wa mashabiki aliyekuwa akiimba kwenye nafasi ya Vanessa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA TUO8JANUARY LILIVYOBAMBA TEMEKE

WASANII wa muziki wa kizazi kipya, jana walitoa burudani ya aina yake pamoja na elimu kwa vijana juu ya ushiriki wao katika masuala ya nchi katika viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.
Wakiongozwa na Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ pamoja na Niki wa Pili, wasanii aidi ya 10 waliwapagawisha mamia ya mashabiki waliojitokeza kwenye viwanja hivyo kupata burudani na elimu hiyo.
Akizungumza kabla ya kuimba nyimbo zake kali, Mwana FA akitumia tamasha hilo lililopewa jina la ‘Tuonane Januari’,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wa Morogoro mjini wamnunulia fomu Abood ili aendelee kuwa mbunge wao Jimbo Morogoro mjini

 

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood akipokea michango ya wanafunzi waliojitokeza kumchangia mbunge huyu ili achukue fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi Mara baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya mambo mengi ya maendeleo ikiwemo kuwalipia ada zaidi ya wanafunzi 500 wasiokuwa na uwezo wa kujilipia ada na wanaoishi katika mazingira magumu.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood, akipokea kiasi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani