MAKOSA MANNE YA MSINGI KATIKA HOTUBA YA RAIS.
Na Bashir Yakub
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Nov
10 years ago
Michuzi19 Jan
11 years ago
GPL15 Dec
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa siasa ya nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni hayatabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani mwanzoni mwa Novemba, mwaka huu, 2015.
Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa yeye anaondoka madarakani lakini Tanzania waliyoizoea na kuijua itabakia pale pale na...
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI ALIYOTOA KATIKA KUFUNGA MKUTANO WA MABALOZI WA HESHIMA
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Ipitie Hotuba ya kuanza rasmi kutumika kwa sheria ya makosa ya mtandao hapa nchini
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (Mb), akiongea na waandishi wa habari kuhusu kuanza kutumika rasmi kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao na ya Miamala ya Kieletroniki za mwaka 2015. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bwana John Mngodo
Ndugu Wandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana,
Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa...
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA VITUO VYA MAPUMZIKO NA VYOO VYA WASAFIRI KATIKA BARABARA KUU NCHINI, KATIKA KIJIJI CHA IDETERO, MUFINDI-IRINGA.


5 years ago
Michuzi
FORUMCC KUWAKUTANISHA WADAU WA MAZINGIRA ZAIDI YA 200 KATIKA MKUTANO MKUU WA SITA, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KUTOA HOTUBA
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Jakaya Kikwete anatarajiwa kutoa hotuba katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Mabadiliko ya Tabianchi unaotarajiwa kufanyika Machi 25 hadi 26 mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo wadau zaidi ya 200 wanatarajiwa kuhudhuriwa mkutano huo.
Mkutano huo umeandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la FORUMCC linalojihusisha na kuleta ushawishi wa kuchukua hatua...
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi katika jengo jipya la ofisi ya TTCL, Pemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi Shirika la Simu Tanzania TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura, wakati alipowasili Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Julai 3, 2015 kwa ajili ya Kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi za shirika hilo. Katikati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...