Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOTUBA YA RAIS KIKWETE KATIKA MAZISHI YA MANDELA KIJIJINI QUNU LEO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KIJIJINI MSOGA LEO

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21, 2015. Rais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt JAkaya Kkikwete, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21, 2015. Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba,kijijini lituhi leo

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leo.(picha na Freddy Maro).Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI DAMIANO KOMBA KIJIJINI LITUHI LEO

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge… ...

 

11 years ago

GPL

MAZIKO YA NELSON MANDELA KIJIJINI QUNU

Jeneza lenye mwili wa Mandela likiwa makaburini. Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela likipelekwa makaburini tayari kwa maziko.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya Mandela Qunu

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Qunu, katika mkoa wa Cape Mashariki.

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kijijini Msoga

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokelewana Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete,wakati alipowasili kwenye msiba wa Dada yake na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, jana kijini Msoga Mkoa wa Pwani. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, aliyekuwa Dada yake na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kijijini...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA KAPTENI JOHN KOMBA KIJIJINI KWAKE LITUHI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda  pamoja na wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya Tanzania kwenda kumzika marehemu Kapteni John Komba kijijini kwake Lituhi.

 Mke wa Marehemu Kapteni John Komba ,Salome (kushoto) akiweka shada la maua juu ya kaburi la marehemu.
 Watoto wa marehemu Kapteni John Komba wakiweka shada la maua juu ya kaburi la Baba yao.
 Watoto wa marehemu wakilia...

 

11 years ago

GPL

RASI KIKWETE AHUTUBIA KATIKA MAZISHI YA MANDELA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amehutubia kwenye shughuli ya mwisho ya kumuaga Nelson Mandela katika Kijiji Cha Qunu ambapo ndipo maziko yanapofanyika hapo baadaye. Rais Kikwete amesimulia uhusiano wa karibu uliokuwepo enzi za utawala wa Mandela na Mwalimu Nyerere. Mwili wa hayati Mandela utazikwa kwa tamaduni za Xhosa, ambapo ng’ombe dume atachinjwa na jeneza la Mandela kufungwa kwa ngozi ya Chui. ...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE NA WAZIRI MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA YOMBO, BAGAMOYO, LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya Marehemu Iddi Ubwa Mazongeraaliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, BagamoyoRais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani