Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RASI KIKWETE AHUTUBIA KATIKA MAZISHI YA MANDELA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amehutubia kwenye shughuli ya mwisho ya kumuaga Nelson Mandela katika Kijiji Cha Qunu ambapo ndipo maziko yanapofanyika hapo baadaye. Rais Kikwete amesimulia uhusiano wa karibu uliokuwepo enzi za utawala wa Mandela na Mwalimu Nyerere. Mwili wa hayati Mandela utazikwa kwa tamaduni za Xhosa, ambapo ng’ombe dume atachinjwa na jeneza la Mandela kufungwa kwa ngozi ya Chui. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Papa ahimiza amani katika rasi ya Korea

Papa Francis amezitaka Mazungumzo ya amani katika rasi ya Korea.

 

11 years ago

GPL

RASI KIKWETE ALIHUTUBIA NA KUZINDUA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mh. Samuel Sitta akimkaribisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma ili kulihutubia na kuzindua Bunge Maalum la Katiba leo jioni.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Mke wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere na Mke wa Rais wa Awamu ya pili Mama Siti Mwinyi wakisiliza kwa makini hotuba ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete bungeni Dodoma leo… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiondoka baada ya yeye kuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA W MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE KATIKA KUMBUKUMBU YA HAYATI NELSON MANDELA

Rais Jakaya Kikwete (wa nne kutoka kulia mstari wa pili) akiwa na mkewe mama Salma Kikwete katika ibada ya Kumbukumbu ya Kifo cha aliyekuwa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, Mheshimiwa Nelson R Mandela. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Desemba 10, 2013, ameungana na viongozi wa mataifa mbali mbali duniani na maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini Kuadhimisha...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA DKT WILLIAM MGIMWA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo Desemba 6, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua  wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE NA WAZIRI MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA YOMBO, BAGAMOYO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo  mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, BagamoyoRais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani