Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE KATIKA KUMBUKUMBU YA HAYATI NELSON MANDELA

Rais Jakaya Kikwete (wa nne kutoka kulia mstari wa pili) akiwa na mkewe mama Salma Kikwete katika ibada ya Kumbukumbu ya Kifo cha aliyekuwa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, Mheshimiwa Nelson R Mandela. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Desemba 10, 2013, ameungana na viongozi wa mataifa mbali mbali duniani na maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini Kuadhimisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUZO YA JAMII ITAKAYOTOLEWA TAREHE 13 APRIL 2015 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE, JIJINI DAR ES SALAAM
MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete
WAGENI WAALIKWA:
Mara baada ya Hafla ya Tuzo ya Jamii ambapo Washindi wote watapewa Tuzo na Mgeni Rasmi, Kutakuwa na Dhifa ya Kitaifa ya Tuzo ya Jamii ambayo itahudhuriwa na wageni wafuatao:
Wapewa Tuzo, Familia za wapewa Tuzo, Viongozi...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA PHD KATIKA MAHAFALI YA PILI YA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA NELSON MANDELA JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu PhD Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake katika Jamii, kitaifa na kimataifa pamoja na kufanikisha kuanzishwa kwa Taasisi hiyo kwenye Mahafali ya pili  iliyofanyika...

 

11 years ago

Mwananchi

Koffi Annan: Viongozi Afrika igeni mfano wa Hayati Nelson Mandela

Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan amesema umoja wa viongozi wa dunia waliokutanishwa na Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela utaendelea kufanya kazi yake ya kuhakikisha amani na usalama vinatawala dunia.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE WILAYANI MONDULI

Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi na wajane wa hayati Edward Moringe Sokoine pamoja na baadhi ya viongozi wa kitaifa katika misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine. Mhe. Rais akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine. Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.

 

9 years ago

Daily News

Kikwete hails Nelson Mandela Institute


Kikwete hails Nelson Mandela Institute
Daily News
THE establishment of the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology, Arusha campus was a precise decision to stimulate innovation and entrepreneurship for sustainable development in Tanzania and Eastern Africa and Sub-Saharan ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtihani mkubwa kwa ANC, Rais Zuma bila ya Nelson Mandela

>Licha ya kuacha simanzi na majozi kwa wananchi wa Afrika Kusini na dunia nzima, kifo cha Rais wa kwanza wa kizalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ni kama kimempa nafasi ya kupumua Rais Jacob Zuma.

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MKOANI RUKWA KATIKA UWANJA WA NELSON MANDELA MJINI SUMBAWANGA

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoani Rukwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Methew Sedoyyeka (katikati) akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiimba kwa pamoja wimbo maarufu wa Wafanyakazi wa "Solidarity Forever"  na wafanyakazi walioshiriki maadhimisho hayo katika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga. Baadhi ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi Mkoa wa Rukwa wakiwaongoza wafanyakazi kuimba wimbo wa uishirikiano baina yao...

 

10 years ago

Michuzi

JK atunukiwa PHD katika mahafali ya pili ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu PhD Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake katika Jamii, kitaifa na kimataifa pamoja na kufanikisha kuanzishwa kwa Taasisi hiyo kwenye Mahafali ya pili  iliyofanyika leo  jijini Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani