JK atunukiwa PHD katika mahafali ya pili ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-dfIC5s87vIU/VJMbPD9FT1I/AAAAAAAG4To/G71vHFsJaMA/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu PhD Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake katika Jamii, kitaifa na kimataifa pamoja na kufanikisha kuanzishwa kwa Taasisi hiyo kwenye Mahafali ya pili iliyofanyika leo jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfaNpDjE255To9g2odM-Bd*g*MasQ*4EEVTCEEfkRGWJhUTsl4x7*MLSkNsVrzJnjitybg83Y6nvSloqmuR2MaSc/1.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE ATUNUKIWA PHD KATIKA MAHAFALI YA PILI YA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA NELSON MANDELA JIJINI ARUSHA
10 years ago
Michuzi17 Dec
NAIBU MKURUGENZI MKUU WA UNESCO AWASILI JIJINI ARUSHA KUSHIRIKI MAHAFALI TAASISI YA MANDELA
![DSC_0499](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_04991.jpg)
10 years ago
MichuziChuo Kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha chaingia mkataba na kampuni ya Huawei Tanzania
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la mafunzo ya pamoja kwa mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia jijini Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati alipowasili kwenye Taasisi ya ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kimataifa la Mafunzo ya pamoja kwa Mabadiliko ya Kisayansi na Teknolojia, yaliyoanza leo jijini Arusha. Mafunzo hayo yameshirikisha washiriki kutoka Nchi 14 za Afrika na washiriki kutoka Vyuo 15 vya...
10 years ago
Dewji Blog24 Jun
JK afungua kongamano la kimataifa la sayansi, teknolojia na ubunifu jijini Dar leo
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa hutuba mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vHKTwxLSiRQ/VmSc6stIlHI/AAAAAAAIKho/ohorXGvwGzE/s72-c/s.png)
MAHAFALI YA TISA YA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vHKTwxLSiRQ/VmSc6stIlHI/AAAAAAAIKho/ohorXGvwGzE/s320/s.png)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Y14M7rReJeM/VjICn7OGmiI/AAAAAAAIDWE/60u8Dd9xRo0/s72-c/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-Y14M7rReJeM/VjICn7OGmiI/AAAAAAAIDWE/60u8Dd9xRo0/s640/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4PkxV6XZZaQ/VjICoBJ-4pI/AAAAAAAIDWM/bImrWxjTvWs/s640/New%2BPicture%2B%25282%2529.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IFgLUv0c7to/VjIColnyljI/AAAAAAAIDWI/iAkTWoQ-mGU/s640/New%2BPicture.png)
10 years ago
IPPmedia31 Jul
Arusha to introduce Nelson Mandela week
IPPmedia
IPPmedia
Authorities in Arusha have expressed the need to introduce the Nelson Mandela week in efforts to honour the contribution made by the former South African president for his contribution in scaling up science and technological spirits in Africa. Arusha ...
Nelson Mandela and The Transformative Power of ServiceHuffington Post
all 2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k50jjlp7mj9gfTBxOcwjuFzwgx7bnGqgLQTQ6wnHP1VhWhANvDpdcqjT9znS1pxCH9bFLl6cdLXK5hDzpGO9OWu/vodacomredwhitelogo.jpg)
MPANGO WA MAKTABA ZA DIJITALI WAZINDULIWA AFRIKA KUSINI, UMEWEZESHWA NA VODACOM, HUAWEI NA TAASISI YA NELSON MANDELA