MPANGO WA MAKTABA ZA DIJITALI WAZINDULIWA AFRIKA KUSINI, UMEWEZESHWA NA VODACOM, HUAWEI NA TAASISI YA NELSON MANDELA

Johannesburg, Midrand Idara ya elimu ya serikali ya Afrika Kusini kwa kushirikiana na makampuni ya Vodacom,Huawei na taasisi ya Nelson Mandela Foundation imezindua mpango wa maktaba kwa njia ya mtandao wa kidijitali lengo kubwa likiwa ni kuboresha huduma za elimu nchini humo. Â Mpango huu utatekelezwa kwa kutumia programu zenye maudhui ya elimu zinazopatikana bure kwenye simu za kampuni ya Huawei zilizounganishwa na vituo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziUbalozi wa Afrika ya kusini na Vodacom waadhimisha siku ya Nelson Mandela
11 years ago
GPLUBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NA VODACOM WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA NELSON MANDELA
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Ubalozi wa Afrika ya Kusini, Umoja wa Mataifa (UN) na Vodacom waadhimisha siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole akizungumza na baadhi ya wadau waliohudhuria katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Nelson Mandela kabla ya kusoma ujumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Mooniliyofanyika leo duniani kote na hapa nchini imeadhimishwa katika shule ya watoto wenye mahitaji maalum na kudhaminiwa na Vodacom.
Na Mwandishi wetu
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Afrika ya kusini nchini Tanzania,...
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Wasomi: Kifo cha Nelson Mandela hakitaathiri siasa za Afrika Kusini
10 years ago
MichuziChuo Kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha chaingia mkataba na kampuni ya Huawei Tanzania
10 years ago
Michuzi.jpg)
JK atunukiwa PHD katika mahafali ya pili ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha leo
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATUNUKIWA PHD KATIKA MAHAFALI YA PILI YA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA NELSON MANDELA JIJINI ARUSHA
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Koffi Annan: Viongozi Afrika igeni mfano wa Hayati Nelson Mandela
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MAZIKO YA MZEE NELSON MADELA