Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi: Kifo cha Nelson Mandela hakitaathiri siasa za Afrika Kusini

Kifo cha Shujaa aliyepigania Uhuru wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kimedaiwa hakitaathiri kwa namna yoyote mwelekeo wa siasa na uchumi wa nchi hiyo kwa siku zijazo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Afrika ya kusini na Vodacom waadhimisha siku ya Nelson Mandela

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Kusho)pamoja na Afisa wa Ubalozi wa Afrika ya Kusini Nkhetheleni Mphohoni na Afisa Mawasiliano wa Vodacom,Gloria Mtui wakigawa zawadi za tisheti na kofia kwa wanafunzi na wa shule ya watoto wenye mahitaji maalum ya Sinza jijini Dar es Salam wakati wa maadhimisho ya siku ya Mandela iliyoandaliwa na Ubalozi wa Afrika ya kusini nchini na kufanyika leo shuleni hapo. Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Maifa la Kuhudumia wakimbizi...

 

11 years ago

GPL

UBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NA VODACOM WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA NELSON MANDELA‏

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Kusho)pamoja na  Afisa wa Ubalozi wa Afrika ya Kusini Nkhetheleni Mphohoni na Afisa Mawasiliano wa Vodacom,Gloria Mtui wakigawa zawadi za  tisheti na kofia kwa wanafunzi na   wa shule ya watoto wenye mahitaji maalum ya Sinza jijini Dar es Salam wakati wa  maadhimisho ya siku ya Mandela iliyoandaliwa na Ubalozi wa Afrika ya kusini nchini na kufanyika leo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ubalozi wa Afrika ya Kusini, Umoja wa Mataifa (UN) na Vodacom waadhimisha siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela

002

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole akizungumza na baadhi ya wadau waliohudhuria katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Nelson Mandela  kabla ya kusoma ujumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Mooniliyofanyika leo duniani kote na hapa nchini imeadhimishwa katika shule ya watoto wenye mahitaji maalum na kudhaminiwa na Vodacom.

Na Mwandishi wetu

Wafanyakazi wa Ubalozi wa Afrika ya kusini nchini Tanzania,...

 

10 years ago

GPL

MPANGO WA MAKTABA ZA DIJITALI WAZINDULIWA AFRIKA KUSINI, UMEWEZESHWA NA VODACOM, HUAWEI NA TAASISI YA NELSON MANDELA

Johannesburg, Midrand Idara ya elimu ya serikali ya Afrika Kusini kwa kushirikiana na makampuni ya Vodacom,Huawei na taasisi ya Nelson Mandela Foundation imezindua mpango wa maktaba kwa njia ya mtandao wa kidijitali lengo kubwa likiwa ni kuboresha huduma za elimu nchini humo.
 
Mpango huu utatekelezwa kwa kutumia programu zenye maudhui ya elimu zinazopatikana bure kwenye simu za kampuni ya Huawei zilizounganishwa na vituo...

 

11 years ago

Mwananchi

Koffi Annan: Viongozi Afrika igeni mfano wa Hayati Nelson Mandela

Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan amesema umoja wa viongozi wa dunia waliokutanishwa na Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela utaendelea kufanya kazi yake ya kuhakikisha amani na usalama vinatawala dunia.

 

11 years ago

GPL

WOTE TUNA CHA KUJIFUNZA KWA NELSON MANDELA

NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifikisha hapa nilipo leo, nikiwa na afya njema. Kama ambavyo nimekuwa nikisema mara kwa mara, wakati ukisoma habari hii, wapo mamilioni ya binadamu wenzetu kutoka sehemu mbalimbali duniani ambao hawako sawa. Hawawezi kusoma kama wewe unavyofanya hivi sasa kwa sababu hali zao haziwaruhusu, wengine wapo mahututi vitandani, wengine wana njaa kali na wengine wamepoteza maisha kwa...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA KUNUFAIKA NA USHIRIKIANO KUTOKA CHINA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST),Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun Zhenrong wakisaini makubaliano ya vyuo hivyo viwili kushirikiana katika nyanja za utafiti,mafunzo na kifedha leo mkoani Arusha. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST)kilichopo ,Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MAZIKO YA MZEE NELSON MADELA‏


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Waterkloof Airforce Base ulioko Kusini mwa jiji la Pretoria alikowasili usiku wa kuamkia leo tayari kuhudhuria mazishi ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Nelson R. Mandela.
Rais Kikwete akisalimiana na Mwambata wa Kijeshi katika Ubalozi wa Tanzania Afrika kusini katika uwanja wa… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Maduka, benki vyafungwa kuomboleza kifo cha Nelson Mandelea

Shughuli nyingi za biashara zimesimama katika jiji hili kuu la kibiashara kutokana na pilikapilika za watu wengi kumiminika kumuaga kiongozi wao, Nelson Mandela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani