Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOTE TUNA CHA KUJIFUNZA KWA NELSON MANDELA

NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifikisha hapa nilipo leo, nikiwa na afya njema. Kama ambavyo nimekuwa nikisema mara kwa mara, wakati ukisoma habari hii, wapo mamilioni ya binadamu wenzetu kutoka sehemu mbalimbali duniani ambao hawako sawa. Hawawezi kusoma kama wewe unavyofanya hivi sasa kwa sababu hali zao haziwaruhusu, wengine wapo mahututi vitandani, wengine wana njaa kali na wengine wamepoteza maisha kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA KUNUFAIKA NA USHIRIKIANO KUTOKA CHINA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST),Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun Zhenrong wakisaini makubaliano ya vyuo hivyo viwili kushirikiana katika nyanja za utafiti,mafunzo na kifedha leo mkoani Arusha. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST)kilichopo ,Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi: Kifo cha Nelson Mandela hakitaathiri siasa za Afrika Kusini

Kifo cha Shujaa aliyepigania Uhuru wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kimedaiwa hakitaathiri kwa namna yoyote mwelekeo wa siasa na uchumi wa nchi hiyo kwa siku zijazo.

 

10 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha chaingia mkataba na kampuni ya Huawei Tanzania

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania, Peter Jiang(Kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Arusha, Profesa Lughano Kusiluka, wakisaini mkataba wa Shilingi Milioni 51 kama msaada wa kuchangia utafiti wa matatizo mbalimbali ya jamii nchini zilizotolewa na Kampuni hiyo mwishoni mwa wiki. Meneja Uhusiano wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania, Peter Jiang(Kushoto) akimkabidhi mkataba, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Arusha, Profesa Lughano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mandela ni kioo cha viongozi wote duniani

MARAIS na viongozi wote duniani, ni muhimu wakajipima na kujitazama mwenendo na sura ya utawala walionao kwa kujiangalia kwa kupitia baba wa taifa la Afrika Kusini na nembo ya Afrika,...

 

9 years ago

Mwananchi

Balozi Naimi: Tuna ya kujifunza kutoka Ethiopia

Ethiopia ni moja kati ya nchi ambazo zimekua kiuchumi na kuwa rafiki mzuri wa Tanzania katika nyanja mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba

MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtihani mkubwa kwa ANC, Rais Zuma bila ya Nelson Mandela

>Licha ya kuacha simanzi na majozi kwa wananchi wa Afrika Kusini na dunia nzima, kifo cha Rais wa kwanza wa kizalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ni kama kimempa nafasi ya kupumua Rais Jacob Zuma.

 

5 years ago

BBCSwahili

Maadhimisho ya kuachiliwa kwa Nelson Mandela: Kwanini alikuwa mtu muhimu ?

Leo ni siku ambayo Nelson Mandela anaadhimisha miaka 30 tangu alipoachiliwa kutoka gerezani wakati wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika kusini. NI siku inayotumika kumuenzi na kutambua mafanikio yake.

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUZO YA JAMII ITAKAYOTOLEWA TAREHE 13 APRIL 2015 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE, JIJINI DAR ES SALAAM
MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete
WAGENI WAALIKWA:
Mara baada ya Hafla ya Tuzo ya Jamii ambapo Washindi wote watapewa Tuzo na Mgeni Rasmi, Kutakuwa na Dhifa ya Kitaifa ya Tuzo ya Jamii ambayo itahudhuriwa na wageni wafuatao:
Wapewa Tuzo, Familia za wapewa Tuzo, Viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani