Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mandela ni kioo cha viongozi wote duniani

MARAIS na viongozi wote duniani, ni muhimu wakajipima na kujitazama mwenendo na sura ya utawala walionao kwa kujiangalia kwa kupitia baba wa taifa la Afrika Kusini na nembo ya Afrika,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WOTE TUNA CHA KUJIFUNZA KWA NELSON MANDELA

NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifikisha hapa nilipo leo, nikiwa na afya njema. Kama ambavyo nimekuwa nikisema mara kwa mara, wakati ukisoma habari hii, wapo mamilioni ya binadamu wenzetu kutoka sehemu mbalimbali duniani ambao hawako sawa. Hawawezi kusoma kama wewe unavyofanya hivi sasa kwa sababu hali zao haziwaruhusu, wengine wapo mahututi vitandani, wengine wana njaa kali na wengine wamepoteza maisha kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi Afrika na kivuli cha Mandela

LEO shujaa mwingine mwana wa Afrika, Nelson Mandela (Madiba) anazikwa rasmi kijijini kwake ikiwa ni safari yake ya mwisho hapa duniani. Madiba atabaki kwenye kumbukumbu zetu kama mpigania uhuru aliyekomboa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano na Viongozi wa Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU)

KAMATI YA LUGHA NA UTAMADUNIKamati ya Lugha na utamaduni, Jumuiya ya Watanzania Washington DC, Maryland na Virginia (DMV) inapenda kuwaalika wana DMV na wadau wote wa Lugha ya Kiswahili kwenye mkutano na viongozi wa Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) utakaofanyika siku ya Ijumaa Septemba 26, 2014 kuanzia saa nane mchana. Hii ni Fursa ya kukutana wa Wahadhiri wa lugha ya Kiswahili kutoka Vyuo mbali mbali hapa Marekani kwa lengo moja la kuendeleza lugha yetu ya Kiswahili. Anuani...

 

10 years ago

Mwananchi

Kioo cha jamii ni sanaa au msanii?

Kuna kipindi nilikuwa mbishi nikitaka kubadilisha nilichokikuta katika dunia, niliamini kabisa walichosema babu zangu ndiyo sahihi, bila kuupa ubongo wangu nafasi ya kufikiri. Leo nakiri kwamba kipind fulani nilikuwa mjinga.

 

10 years ago

Raia Mwema

Nchi inapojiangalia kwenye 'Kioo Cha CCM'

MAJUZI pale Viwanja vya Furahia Mwanza, tulionyeshwa kupitia runinga, CCM ikiongozwa na Katibu wa

Maggid Mjengwa

 

11 years ago

GPL

Messi avunja kioo cha mlango Taifa, Polisi wamvaa

Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ (kulia) akipambana na mchezaji wa Coastal Union. Hans Mloli na Lucy Mgina
HALI ya hewa imezidi kuchafuka ndani ya Simba ambayo imekutana na kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jana, lakini kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ alienda mbele zaidi baada ya kipigo...

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani