Messi avunja kioo cha mlango Taifa, Polisi wamvaa
![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGF334-d6BOcrkvWqoeONxMrxTYYUshbe3lTSPbZFx5aX8XKSFabNhPbhITj5Og3wPdQJRKehb4n4EOrujo9FyIq/mesi.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ (kulia) akipambana na mchezaji wa Coastal Union. Hans Mloli na Lucy Mgina HALI ya hewa imezidi kuchafuka ndani ya Simba ambayo imekutana na kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jana, lakini kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ alienda mbele zaidi baada ya kipigo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Ronaldo avunja rekodi ya Messi
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Messi avunja rekodi ya kombe la Ulaya
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Kioo cha jamii ni sanaa au msanii?
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Mandela ni kioo cha viongozi wote duniani
MARAIS na viongozi wote duniani, ni muhimu wakajipima na kujitazama mwenendo na sura ya utawala walionao kwa kujiangalia kwa kupitia baba wa taifa la Afrika Kusini na nembo ya Afrika,...
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Nchi inapojiangalia kwenye 'Kioo Cha CCM'
MAJUZI pale Viwanja vya Furahia Mwanza, tulionyeshwa kupitia runinga, CCM ikiongozwa na Katibu wa
Maggid Mjengwa
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GfEm3Ytt0bs/U4JssbgtxGI/AAAAAAAFk-M/tXAy3VbXfdM/s72-c/MMGN8616.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IEKJIEni0dg/UxhqKGOX2bI/AAAAAAAFRZg/dE3KV3snxvM/s72-c/_MG27245.jpg)
9 years ago
StarTV10 Nov
Rais avunja bodi ya Hosptali ya taifa ya Muhimbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amevunja Bodi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha
Rais amemteua Prof. Lawrence Mseru , kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili kuanzia leo tarehe 10 Novemba, 2015.
Dkt. Hussein L. Kidanto ambaye ndiye anayekaimu hivi sasa, amehamishiwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambako atapangiwa kazi nyingine.
Pia...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Simwanda avunja rekodi ya Gaga kuchezea Taifa Stars