Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA WABABA WOTE DUNIANI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mandela ni kioo cha viongozi wote duniani

MARAIS na viongozi wote duniani, ni muhimu wakajipima na kujitazama mwenendo na sura ya utawala walionao kwa kujiangalia kwa kupitia baba wa taifa la Afrika Kusini na nembo ya Afrika,...

 

11 years ago

Michuzi

WANAWAKE WOTE DUNIANI TUNALILIA AMANI - MAMA PINDA

MKE WA WAZIRI MKUU, Mama Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka kwenye familia na vifo vya watu wasio na hatia.
Ametoa wito huo leo mchana (Jumapili, Agosti 10, 2014) wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu (keynote speaker) kwenye Mkutano wa Dunia wa siku tano ulioanza leo jijini Seoul, Korea Kusini.
Mkutano huo ambao umeandaliwa na taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

CCM Blog

MUFTI WA TANZANIA AWATAKIAKIA WAISLAMU WOTE DUNIANI SIKU KUU NJEMA

  Mufti wa Tanzania Abubabakary Zubery

Napenda kuchukua fursa hii kusema kuwa mwezi umeonekana maeneo mbalimbali ikiwemo Lam, Mombasa,  Nawapa mkono wa Eid el fitri Waislamu kote Duniani ambao wamehitimisha Ibada ya mwezi mzima wa mfungo mtukufu wa Ramadhan. Pia napenda kuchukua fulsa hii kuwakumbusha kuchukua tahadhari wote tukumbuke maagizo tunayo pewa na Serikali kupitia Wataalamu wake wa Afya kuendelea kuchukua maelekezo juu ya ugonjwa hatari wa CORONA. Na 
Kupitia maombi yenu Mwenyezi...

 

10 years ago

Bongo Movies

"Kajala ni rafiki MBAYA KULIKO WOTE DUNIANI, NAJUTA kumsaidia" - Wema Sepetu

HATARI BALAA!, Wema finally kaamua kufunguka kuhusu Kajala.  Yani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho, ni hatari sana!

Amedai Kajala is the worst friend she has ever had. Na kasema ana regret kumsaidia Kajala,ile kumlipia kumtoa jela anasema anaregret vibaya sana.

Tusimalize uhondo. Msikilize mwenyewe akiongea HAPA

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Wababa ft. Nay wa Mitego — Miaka 100

Msanii Wababa ambaye aliwahi kushiriki BSS nahivi karibuni kulala mika kuwa aliibiwa kazi zake na Nay wa Mitego na Diamond ameamua kuachia ngoma Mpya aliyo mshirikisha Nay wa Mitego ngoma imefanyika katika Studio za Mazuu Records ngoma inaitwa “Miaka 100″

 

9 years ago

MillardAyo

RIP mtu mnene kuliko wote duniani, kutana na picha za mwili wake wakati wa uhai wake

Unakumbuka au umwahi kusikia zile headlines za mtu mnene kuliko wote duniani, basi imenifikia stori yake mpya japokuwa sio njema mtu wangu. Andres Moreno jamaa ambaye anashikilia rekodi ya kuwa mtu mnene duniani amefariki dunia December 25 siku ya sikukuu ya Chrismass. Stori kutoka indianexpress.com zinaeleza Andres Moreno ambaye alikuwa anatajwa kuwa na uzito wa Kilogram […]

The post RIP mtu mnene kuliko wote duniani, kutana na picha za mwili wake wakati wa uhai wake appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

Sifa na Utukufu kwa Mungu - Shukrani kwa Wote! - Ibada ya Kiswahili ~ Columbus, Ohio

Sifa na Utukufu kwa Mungu kwa Baraka za Watoto Kwaya kutoka Uganda waliotembelea Ibada ya Kiswahili 12 Mei 2015. Kipekee tunawashukuru Wanajumuiya wote kwa ushirikiano wako na kushiriki katika Tamasha hili. Mungu akubariki na kubariki huduma yako pia kwa kuwakarimu Watoto na wageni wote ~ Ibada ya Kiswahili ~ Mch. Ipyana Mwakabonga
Watoto Kwaya - Uganda
Watoto Kwaya wakikaribishwa rasmi na Watoto wa Ibada ya Kiswahili - Ohio ( Ian na Suzy) na Uongozi wa Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani