Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Naimi: Tuna ya kujifunza kutoka Ethiopia

Ethiopia ni moja kati ya nchi ambazo zimekua kiuchumi na kuwa rafiki mzuri wa Tanzania katika nyanja mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TUNAWEZA KUJIFUNZA KUTOKA UHISPANIA- BALOZI MANONGI

 Na Mwandishi Maalum   Tanzania inaweza kuongeza zaidi kasi yake ya ukuaji wa uchumi na maendeleo ya wananchi wake, kwa kujifunza uzoefu wa nchi nyingine marafiki kama vile Uhispania. Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, ameyasema hayo siku ya jumanne, wakati alipokuwa akichangia majadiliano ya mada kuhusu “Kuendelea kwa Pamoja: misaada ya maendeleo ( ODA), biashara na uwekezaji”.  Muwasilishaji wa mada hiyo alikuwa ni Waziri wa...

 

11 years ago

GPL

WOTE TUNA CHA KUJIFUNZA KWA NELSON MANDELA

NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifikisha hapa nilipo leo, nikiwa na afya njema. Kama ambavyo nimekuwa nikisema mara kwa mara, wakati ukisoma habari hii, wapo mamilioni ya binadamu wenzetu kutoka sehemu mbalimbali duniani ambao hawako sawa. Hawawezi kusoma kama wewe unavyofanya hivi sasa kwa sababu hali zao haziwaruhusu, wengine wapo mahututi vitandani, wengine wana njaa kali na wengine wamepoteza maisha kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuliyoshindwa kujifunza kutoka Azimio la Arusha

Mengi yamezungumzwa na yatazungumzwa tena wakati tunaadhimisha miaka 47 ya Azimio la Arusha. Kwa leo ningependa nipitie mambo mawili matatu ninayohisi kwamba Watanzania hawakujifunza, wala kuambulia kitu kutokana na hayo.

 

11 years ago

Michuzi

balozi mdogo wa ethiopia amtembelea balozi mdogo wa tanzania dubai

 Balozi Mdogo wa Ethiopia Mhe. Yibeltal A. Alemu akikaribishwa na  Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga alipomtembelea ofisini kwake leo mjini Dubai. Balozi Mdogo wa Ethiopia Mhe. Yibeltal A. Alemu na Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga katika mazungumzo. 
Katika mazungumzo yao wanadiplomasia hao  walipata fursa ya kuzungumzia njia muafaka na mbali mbali za kufanya kazi kwa karibu ili kuhakikisha wanavutia utalii na uwekezaji katika nchi zao hasa kwa kuwavutia...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana : Viongozi wana mengi ya kujifunza kutoka Kwa Wananchi

6

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Igunga kwenye viwanja vya Sokoine na kutaka Viongozi wajifunze kutoka kwa wananchi ili waendane na kasi ya mabadiliko.

5

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Igunga waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya mikutano vya Sokoine na kuwaambia wanasiasa waache kuwababaisha watu na suala la muundo wa serikali badala yake waje na hoja zinazogusa maisha ya kila siku mfano changamoto la mbegu za Pamba...

 

10 years ago

Ykileo

USALAMA MITANDAO: TANZANIA INA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KENYA.

Nimekamilisha vikao vya usalama mitandao vilivyofanyikia jijini Nairobi kufuatia mualiko maalum nilioupata. Katika vikao hivyo niliwasilisha mada mbili (ya kwanza ikiwa ni namna ya kukabiliana na uhalifu mtandao na mada ya pili ikiwa ni namna ya uchunguzi wa makosa ya digitali kitaalam) katika mada hizo mbili ambazo zilipokelewa vizuri na kupelekea mijadala ya kipekee kuna mengi  nikajifunza kutoka kwa washiriki. Aidha, nilishiriki mijadala duara iliyojikita katika changamototo mbali mbali...

 

11 years ago

Ykileo

TANZANIA YAASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WACHINA KUKATAZA MATUMIZI YA WINDOW 8

Katika wiki chache zilizopita kulikuwa na msuguano kati ya serikali ya Marekani na China , Serikali ya Marekani inailaumu china kwa kufanya udukuzi kwenye kampuni zake na biashara nyingine huku china nayo ikiilaumu marekani taarifa juu ya hili inaweza kusomeka "HAPA" .


Uchina baada ya hali hiyo ikaamua kukataza matumizi ya windows 8 kwenye kompyuta zote za serikali na taasisi zote zinazopewa fedha na serikali ya nchi hiyo na hili linaweza kusomeka kwa kirefu na viambatanishi vingine...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU BALOZI MULAMULA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA QATAR NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akipokea Nakala ya Hati za Utambulisho kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kutoka kwa Balozi Mteule wa Qatar nchini Tanzania,  Mhe. Abdullah Jassim Mohamed Al Maadadi leo tarehe 17 Juni 2015.Balozi Mulamula akiwa katika mazungumzo na Balozi Al Maadadi mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Nakala za Hati za UtambulishoKaimu Mkurugenzi wa Idara ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 64 kutoka Ethiopia wakamatwa

Wahamiaji haram 64 kutoka Ethiopia wamekamatwa nchini Tanzania wakiaminika kwenda kusini mwa Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani