Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USALAMA MITANDAO: TANZANIA INA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KENYA.

Nimekamilisha vikao vya usalama mitandao vilivyofanyikia jijini Nairobi kufuatia mualiko maalum nilioupata. Katika vikao hivyo niliwasilisha mada mbili (ya kwanza ikiwa ni namna ya kukabiliana na uhalifu mtandao na mada ya pili ikiwa ni namna ya uchunguzi wa makosa ya digitali kitaalam) katika mada hizo mbili ambazo zilipokelewa vizuri na kupelekea mijadala ya kipekee kuna mengi  nikajifunza kutoka kwa washiriki. Aidha, nilishiriki mijadala duara iliyojikita katika changamototo mbali mbali...





Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ISACA TANZANIA YATOA SEMINA KUHUSU USALAMA WA MITANDAO

 Makamu wa Rais wa Isaca Tanzania Chapter ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali Mtandao, Dk. Jabir Bakari akitoa hotuba yake wakati akifungu semina kuhusu usalama wa mifumo ya kompyuta pamoja na ukaguzi wa mifumo hiyo kwa kuwakutanisha wataalumu na kujadiliana kuhusu ukuaji wa teknolojia na usalama.
Aidha Dk. Jabir alisema kuwa semina hiyo inawakutanisha wataalamu wa mifumo ya kompyuta kutoka ndani na nje ya nchi watakaojifunza na kuongeza utaalamu wa kulinda mifumo ya...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO

 KATIBU MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA (PROF. PATRICK MAKUNGU) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA WARSHA YA USALAMA MITANDAO AMBAPO TANZANIA IMEKUA MWENYEJI WAKE.  MKURUGENZI MKUU WA COSTECH NCHINI (DR. HASSAN MSHINDA) AKITOA MANENO MACHACHE KATIKA UFUNGUZI WA WARHA HIYO.…

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO DUNIANI

Na Yusuph KileoKumekua na makongamano, Mikutano na warsha mbali mbali zihusuzo maswala ya usalama mitandao katika mataifa mbali mbali ambapo mijadala ya kina kuhusiana na maswala ya usalama mitandao hufanywa. Mijadala yenye nia na madhumuni ya kuangazia macho maswala ambayo hivi sasa yamekua yakiitikisa dunia. Tanzania kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) kwa kushirikiana na Tume ya Sayansi na Teknolojia kwa Maendeleo ya nchi za Kusini(COMSAT) na taasisi nyingine wameweza...

 

11 years ago

Ykileo

TANZANIA YAASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WACHINA KUKATAZA MATUMIZI YA WINDOW 8

Katika wiki chache zilizopita kulikuwa na msuguano kati ya serikali ya Marekani na China , Serikali ya Marekani inailaumu china kwa kufanya udukuzi kwenye kampuni zake na biashara nyingine huku china nayo ikiilaumu marekani taarifa juu ya hili inaweza kusomeka "HAPA" .


Uchina baada ya hali hiyo ikaamua kukataza matumizi ya windows 8 kwenye kompyuta zote za serikali na taasisi zote zinazopewa fedha na serikali ya nchi hiyo na hili linaweza kusomeka kwa kirefu na viambatanishi vingine...

 

10 years ago

Mwananchi

TRL ina mengi ya kujifunza, haipaswi kurudia kosa - (2)

Wiki iliyopita, tuliangalia hali ilivyokuwa ndani ya lililokuwa Shirika la Reli Tanzania (TRC) na hali halisi iliyoifanya Serikali kuamua kubinafsisha na ikaundwa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL).

 

10 years ago

Vijimambo

Wilaya ya Mbeya Mjini yaongoza kwa matokeo bora ya kujifunza. Kenya imezishinda Tanzania na Uganda

13 Mei 2015, Dar es Salaam: Watoto wa Afrika Mashariki hawajifunzi stadi za msingi za kusoma na kuhesabu. Ni watoto wawili tu kati ya kumi (20%) wa darasa la tatu wanaoweza kusoma na kufanya hesabu za darasa la pili. Wanapohtimu elimu ya msingi, mtoto mmoja kati ya wanne Afrika Mashariki (24%) anakuwa bado hajamudu stadi za kusoma na kuhesabu.

Matokeo haya yametolewa na Uwezo iliyopo Twaweza, kwenye ripoti yao Je, Watoto wetu wanajifunza? Uwezo wa kusoma na kuhesabu Afrika Mashariki. Takwimu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kitisho cha Usalama: Polisi auawa, Kenya

Askari mmoja ameuawa na mwingine akiwa mahututi baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi kaskazini mwa Kenya.

 

10 years ago

Vijimambo

WANAJESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI CHA KENYA WATEMBELEA TBL

Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyochachuliwa wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakipata maelezo kutoka kwa Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya (kushoto), kuhusu mitungi inayotumika kupikia bia ...

 

10 years ago

BBCSwahili

maswala ya usalama mitandao

Nchi ya Tanzania imepata bahati ya kipekee kuwa mwenyeji wa warsha ya Kimataifa ya maswala ya usalama mitandao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani