ISACA TANZANIA YATOA SEMINA KUHUSU USALAMA WA MITANDAO
Makamu wa Rais wa Isaca Tanzania Chapter ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali Mtandao, Dk. Jabir Bakari akitoa hotuba yake wakati akifungu semina kuhusu usalama wa mifumo ya kompyuta pamoja na ukaguzi wa mifumo hiyo kwa kuwakutanisha wataalumu na kujadiliana kuhusu ukuaji wa teknolojia na usalama.
Aidha Dk. Jabir alisema kuwa semina hiyo inawakutanisha wataalamu wa mifumo ya kompyuta kutoka ndani na nje ya nchi watakaojifunza na kuongeza utaalamu wa kulinda mifumo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 May
Waziri wa Afya afungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu usalama wa chakula
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto),...
10 years ago
GPLWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA JIJINI DAR LEO
10 years ago
VijimamboWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA
10 years ago
GPLWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA
10 years ago
YkileoUSALAMA MITANDAO: TANZANIA INA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KENYA.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FFUhc6t7ufM/VMyD1jjEF1I/AAAAAAABRnk/AHoQ0NPiRnY/s72-c/IMG-20150124-WA0001.jpg)
UTT-AMIS YATOA SEMINA KUHUSU UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MASOKO YA FEDHA JIJINI ARUSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-FFUhc6t7ufM/VMyD1jjEF1I/AAAAAAABRnk/AHoQ0NPiRnY/s1600/IMG-20150124-WA0001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-c-29kOlhpqM/VMyD2DEW3lI/AAAAAAABRnw/O2Il2Fo4hM4/s1600/IMG-20150130-WA0006.jpg)
10 years ago
GPLTANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA NNE WA MASWALA YA USALAMA MITANDAO
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xU5ANzprSp8/U1pTF9vNeII/AAAAAAAA9-w/aPU_c3OUiXQ/s72-c/n18.jpg)
NSSF YATOA SEMINA KUHUSU MAFAO NA UTUNZAJI KUMBUKUMBU KWA MAOFISA UTUMISHI RAS, DED NA MANISPAA
![](http://2.bp.blogspot.com/-xU5ANzprSp8/U1pTF9vNeII/AAAAAAAA9-w/aPU_c3OUiXQ/s1600/n18.jpg)