Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Afya afungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu usalama wa chakula

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif  (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto),...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif  (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.  Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto),...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA‏

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif  (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.   Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina… ...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA YA UZINDUZI WA CHANJO YA KUZUIA SURUA NA RUBBELA KWA WAANDISHI WA HABARI

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Wizara hiyo Mnazi mmoja kuhusu uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella kwa watoto utakaofanyika katika kijiji cha Uroa Mkoa Kusini Unguja. Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano wa Naibu Waziri wa Afya uliozungumzia uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na… ...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Kitwanga afungua semina kuhusu matumizi ya gesi asilia nchini

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga akifungua rasmi semina kuhusu matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Balozi wa Japan Tanzania, Masaki Okada akizungumza na wadau na wataalamu wa gesi asilia (hawapo pichani) waliohudhuria semina ya matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena ya jijini Dar es Salaam.Wataalamu na wadau wa gesi asilia kutoka Japan na Tanzania wakimsikiliza Naibu Waziri wa...

 

9 years ago

Vijimambo

SEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA BINAADAMU YAENDESHA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI

Afisa Mwandamizi kutoka Sekretarieti ya kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Alex Lupiya akitoa mada kuhusu Dhana ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakati wa semina kwa waandishi wa vyombo vya habari nchini iliyofanyika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jijini Dar es Salaam.Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Misingi ya Utawala Bora, Joshua Taramo akitoa mada kuhusu Mikakati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakati wa semina kwa waandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

SEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI

Afisa Mwandamizi kutoka Sekretarieti ya kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Alex Lupiya akitoa mada kuhusu Dhana ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakati wa semina kwa waandishi wa vyombo vya habari nchini iliyofanyika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jijini Dar es Salaam. Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Misingi ya Utawala Bora, Joshua Taramo akitoa mada kuhusu Mikakati ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakati wa semina kwa waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA DKT SEIF RASHID AZINDUA KONGAMANO LA TISA LA NHIF NA WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA LEO.

Pichani juu na chini ni Mgeni rasmi Waziri wa Afya,Dkt.Seif Rashid akizungumza wakati wa kuzindua kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo kauli mbiu ya kongamano hilo ni ''Tanzania na Huduma bora za matibabu inawezekana''.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Bwa.Hamisi Mdee  akizungumza katika kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo...

 

11 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA KAZI DK MAKONGORO MAHANGA AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA USALAMA KATIKA MATUMIZI YA KEMIKALI SEHEMU ZA KAZI NDOGO‏

Washiriki wakijiandikisha nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa kongamano la afya na usalama katika matumizi ya kemikali sehemu za kazi. Zoezi la uandikishaji na uhakiki wa majina ya washiriki wa kongamano ukiendelea.…

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU

  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafuu Chiku Gallawa akifanunua jambo alipokuwa akifungua mkutano wa chama cha waandishi wa habari na wadau mbalimbali uliofanyika leo mjini Dodoma Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani Dodoma, Bw. Habel Chidawal akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa mkoa kufungua mkutano huo uliofanyika leo Mjini Dodoma
 Mwandishi wa kituo cha Televisheni ya Chanel Ten, Bw. Kuringe Mongi akitoa mada kuhusu Mahusiano kati ya waandishi wa habari na wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani