Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF YATOA SEMINA KUHUSU MAFAO NA UTUNZAJI KUMBUKUMBU KWA MAOFISA UTUMISHI RAS, DED NA MANISPAA

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),  Crescentius Magori akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu mafao na utunzaji kumbukumbu kwa  maofisa utumishi RAS, DED na Manispaa kutoka mikoa yaote ya Tanzania Bara. Semina hiyo imeandaliwa na NSSF na kufanyika leo Mkoani Morogoro. Wa pili kushoto ni Ofisa Rasilimali Watu na Utawala, Chiku Matessa.  Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),  Crescentius Magori akitoa mada kuhusu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

NSSF yatoa semina kwa maofisa ajira na fedha Dar

Mkurugenzi Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cresentius Magori (kulia) akifungua semina ya maofisa Ajira na Fedha toka Mkoa wa Temeke iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cresentius Magori akifungua semina ya maofisa Ajira na Fedha toka Mkoa wa Temeke iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) toka Temeke wakifuatilia semina hiyo....

 

11 years ago

Michuzi

TCRA YATOA SEMINA KWA MAOFISA WA POLISI MKOA WA KILIMANJARO

Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor Nkya akizungumza wakati semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro. Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Injinia Annette Matindi akizungumza wakati wa semina hizo.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP ,Robert Boaz akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro iliyoandaliwa na Mamlaka ya...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA

"Niliamini kuwa itatuchukuwa muda mrefu kusafiri kuweza kujenga na kutengeneza kitu ambacho kitatambulika kitaifa kitakuwa na heshima inayostahili na kitatoa mchango unaostahili na kitashawishi wachimbaji wengine kuona kwamba hii ni Fursa ambayo hakuna yeyote yule anayeweza kuiacha ipite pembeni. Sasa wacha niwapongeze NSSF kwa kuwa wajanja kati ya mifuko mingine yote ya jamii na kuamua kuliangalia kundi hili ambalo nguvu yake ya baadaye italiongoza taifa kuwa na matajiri wake wa ndani...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YATOA ELIMU KUHUSU HIFADHI YA JAMII KWA WANACHUO WA CBE

 Mkurugenzi wa Wanafunzi wanaochukua Mafunzo ya Shahada ya kwanza katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Dk. Esther Mbise akimkaribisha mgeni rasmi, Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii ( NSSF), Eunice Chiume (katikati),wakati wa Semina kwa wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), iliyofanyika katika chuoni hapo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko chuoni hapo, Felix Chale. Jumla ya wanachuo 180 walihudhuria semina hiyo. Meneja...

 

10 years ago

Michuzi

SSRA yatoa ufafanuzi kuhusu Kanuni No. 13 ya mafao ya wastaafu

Mkuu wa Kitengo na Uhusiano na Uhamasishaji cha Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati mamlaka hiyo, ilipokuwa ikitoa ufafanuzi kuhusu kanuni No. 13 ya mafao ya wastaafu. Kulia ni Ofisa Mwandamizi Tafiti, Tathmini na Sera wa SSRA, Joseph Mutashubilwa.  Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ngabo Ibrahim, akifafanua jambo kwa...

 

9 years ago

Habarileo

RC awasimamisha kazi DED, maofisa 11

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa kufanya ubadhirifu fedha zaidi ya Sh milioni 92.8.

 

10 years ago

Michuzi

ISACA TANZANIA YATOA SEMINA KUHUSU USALAMA WA MITANDAO

 Makamu wa Rais wa Isaca Tanzania Chapter ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali Mtandao, Dk. Jabir Bakari akitoa hotuba yake wakati akifungu semina kuhusu usalama wa mifumo ya kompyuta pamoja na ukaguzi wa mifumo hiyo kwa kuwakutanisha wataalumu na kujadiliana kuhusu ukuaji wa teknolojia na usalama.
Aidha Dk. Jabir alisema kuwa semina hiyo inawakutanisha wataalamu wa mifumo ya kompyuta kutoka ndani na nje ya nchi watakaojifunza na kuongeza utaalamu wa kulinda mifumo ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

NSSF yaendesha semina kwa waajiri, wanachama

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu, amewataka waajiri na wanachama wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kujadili changamoto zinazokabili shirika hilo na...

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Habari yatoa kipigo kwa RAS Simiyu katika mashindano ya SHIMIWI

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Watumishi wa Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayoendelea mjini Morogoro.
Wakicheza kwa kuonana timu hiyo ikiongozwa na Nahodha wao Carlos Mlinda walilisakama lango la wapinzani wao RAS Simiyu ambapo katika kipindi cha kwanza mcheza aliyevalia jezi yenye namba 11 Erick Mfugale aliwapatia goli la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani