Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitisho cha Usalama: Polisi auawa, Kenya

Askari mmoja ameuawa na mwingine akiwa mahututi baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi kaskazini mwa Kenya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Polisi auawa Kenya.

Askari mmoja ameuawa na mwingine akiwa mahututi baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi kaskazini mwa Kenya.

Askari hao wa Kenya wanadaiwa kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa kundi la Al Shabaab.

Askari hao wa jeshi la polisi kikosi cha ziada walikutwa na kisa hicho mjini Wajir kaskazini mwa Kenya usiku wa kuamkia leo.

BBC

 

10 years ago

BBCSwahili

Uingereza yataka kukabili kitisho cha IS

Uingereza imetaka kuruhusiwa na bunge kushambulia maeneo ya wapiganaji wa Islamic State ili kudhibiti mashambulio yao

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi wa usalama barabarani aachwa mdomo wazi baada ya mwizi kumuibia fedha za rushwa Kenya

Kwa mujibu wa habari zilizochapishwa kwenye mtandao wa gazeti la Nation, mwizi huyo alizuka gahfla kutoka msituni, akanyakua kifurushi kilichokuwa na pesa kando mwa barabara na kisha kuchanja mbuga kwa kasi!

 

10 years ago

Ykileo

USALAMA MITANDAO: TANZANIA INA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KENYA.

Nimekamilisha vikao vya usalama mitandao vilivyofanyikia jijini Nairobi kufuatia mualiko maalum nilioupata. Katika vikao hivyo niliwasilisha mada mbili (ya kwanza ikiwa ni namna ya kukabiliana na uhalifu mtandao na mada ya pili ikiwa ni namna ya uchunguzi wa makosa ya digitali kitaalam) katika mada hizo mbili ambazo zilipokelewa vizuri na kupelekea mijadala ya kipekee kuna mengi  nikajifunza kutoka kwa washiriki. Aidha, nilishiriki mijadala duara iliyojikita katika changamototo mbali mbali...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA

 Afisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Steven Mwakibolo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  inayodhaminiwa na Vodacom Tanzania. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia, akifuatilia kwa karibu zoezi hilo lililofanyika leo katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo...

 

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI-KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA VODACOM WAENDESHA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU NA UPIMAJI WA VILEVI MWILINI KWA MADEREVA‏

Afisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda mikoani, Steven Mwakibolo kwa kutumia kifaa maalum wakati wa upimaji madereva ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani  inayodhaminiwa na Vodacom Tanzania. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia, akifuatilia kwa karibu zoezi hilo...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI PAMOJA NA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MADEREVA NA ABIRIA KUPAZA SAUTI

Mkuu wa kitengo cha elimu kwa Umma kitengo cha Usalama barabarani makao makuu ya Polisi ASP,Abel Swai(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Maofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro pamoja na Ofisa wa Vodacom Tanzania, Heladius Kisiwani(katikati) kabla ya kuanza zoezi la kutoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi wakati wote wakitumia vyombo vya moto ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya”Wait to Send”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi...

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani