Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahamiaji 64 kutoka Ethiopia wakamatwa

Wahamiaji haram 64 kutoka Ethiopia wamekamatwa nchini Tanzania wakiaminika kwenda kusini mwa Afrika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 64 RAIA WA ETHIOPIA WAKAMATWA MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Wananchi limewakamata Wahamiaji haramu 64  raia wa nchi ya ETHIOPIA (Wahabeshi) katika Kijiji cha KIDOKA, Kata ya KIDOKA, Tarafa ya GOIMA, Wilaya ya na CHEMBA na Mkoa wa DODOMA, mmoja kati yao alikutwa akiwa amefariki dunia aliyetambuliwa kwa jina moja la TAJIRU anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 – 30. Watu hao walikuwa wakisafirishwa kwa Lori lenye namba za usajili T.353 AYW Mitsubishi...

 

11 years ago

GPL

IDARA YA UHAMIAJI MBEYA INAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA

Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jana. Wanahabari wakimsikiliza William Bambanganya. IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ethiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake… ...

 

9 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA WADAKWA LINDI BAADA YA AJALI YA GARI LAO

Wahamiaji haramu wawili kutoka Ethiopia  wafariki na wengine 60 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi baada ya kubainika mara tu Gari ambalo walikuwa wakisafiria kugongwa na Basi la Jailan Jana Mjini Lindi.Gari ambalo walikuwa wakisafiria wahamiaji haramu kutoka Ethiopia baada ya kugongwa na Basi la Jailan jana Mjini Lindi.Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakiwa chini ya Ulinzi kwenye makao makuu ya Uhamiaji mkoani Lindi.Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakiwa chini ya Ulinzi kwenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wahamiaji haramu 21 wakamatwa

IDARA ya Uhamiaji mkoani hapa, imewakamata wahamiaji haramu 21 kutoka nchi ya Ethiopia walioingia nchini kwa kutumia roli la kubebea saruji katika eneo Mashujaa mjini Makambako. Naibu Kamishna wa Idara...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahamiaji haramu 57 wakamatwa K’njaro

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro inawashikilia wahamiaji haramu 57 raia wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahamiaji haramu 69 wakamatwa Kilimanjaro

IDARA ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro inawashikilia raia 69 wa Ethiopia wanaodaiwa kuingia nchini kwa njia za panya katika wilaya za Mwanga na Moshi Vijijini. Akizungumza na TanzaniaDima jana, Ofisa Uhamijaji...

 

11 years ago

Habarileo

Wahamiaji haramu wakamatwa ndani ya basi

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watu sita wakiwemo raia wanne wa Ethiopia kwa kuingia nchini kinyume cha sheria. Raia hao wa Ethiopia walikamatwa wakiwa katika basi la Kampuni ya Simiyu Express lenye namba za usajili T.892 AQY lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

Wahamiaji haramu wakamatwa Tabata Segerea

Na Shamimu Nyaki-Maelezo
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limewakamata wahamiaji haramu 105 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria wakiwa wanasafirishwa kwenda nchi nyingine za Afrika.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam  Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaamu Kamishna Suleiman Kova amesema wahamiaji hao ambao wote ni wanaume wamekamatwa kutokana na ushirikiano wa wasamaria wema wanaoshi eneo hilo la Tabata Segerea.
Ameongeza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wandishi habari 9 wakamatwa Ethiopia

Kamati ya kutetea haki za waandishi habari imelaani vikali kitendo cha serikali ya Ethiopia cha kuwakamata waandishi habari 9

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani