Wahamiaji haramu 21 wakamatwa
IDARA ya Uhamiaji mkoani hapa, imewakamata wahamiaji haramu 21 kutoka nchi ya Ethiopia walioingia nchini kwa kutumia roli la kubebea saruji katika eneo Mashujaa mjini Makambako. Naibu Kamishna wa Idara...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Wahamiaji haramu 57 wakamatwa K’njaro
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Wahamiaji haramu 69 wakamatwa Kilimanjaro
IDARA ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro inawashikilia raia 69 wa Ethiopia wanaodaiwa kuingia nchini kwa njia za panya katika wilaya za Mwanga na Moshi Vijijini. Akizungumza na TanzaniaDima jana, Ofisa Uhamijaji...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Wahamiaji haramu wakamatwa ndani ya basi
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watu sita wakiwemo raia wanne wa Ethiopia kwa kuingia nchini kinyume cha sheria. Raia hao wa Ethiopia walikamatwa wakiwa katika basi la Kampuni ya Simiyu Express lenye namba za usajili T.892 AQY lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam.
9 years ago
MichuziWahamiaji haramu wakamatwa Tabata Segerea
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limewakamata wahamiaji haramu 105 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria wakiwa wanasafirishwa kwenda nchi nyingine za Afrika.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaamu Kamishna Suleiman Kova amesema wahamiaji hao ambao wote ni wanaume wamekamatwa kutokana na ushirikiano wa wasamaria wema wanaoshi eneo hilo la Tabata Segerea.
Ameongeza...
5 years ago
Michuzi21 Mar
WAHAMIAJI HARAMU 51 WAKAMATWA MAKURUNGE HUKO BAGAMOYO
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
JESHI la Polisi mkoani Pwani, kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 51, raia wa Ethiopia waliokuwa wameingia nchini kupitia bandari bubu ya Makurunge katika wilaya ya Bagamoyo.
Idadi hiyo inafikia wahamiaji haramu 100 baada ya wengine 49 kukamatwa juzi ,Kidomole,Fukayose.
Kamanda wa polisi mkoani hapa,Wankyo Nyigesa alieleza, raia hao wamekabidhiwa kwa vyombo vya dola kwa taratibu za kisheria .
“Raia hawa wamekamatwa usiku wa...
10 years ago
MichuziWAHAMIAJI HARAMU 64 RAIA WA ETHIOPIA WAKAMATWA MKOANI DODOMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Wananchi limewakamata Wahamiaji haramu 64 raia wa nchi ya ETHIOPIA (Wahabeshi) katika Kijiji cha KIDOKA, Kata ya KIDOKA, Tarafa ya GOIMA, Wilaya ya na CHEMBA na Mkoa wa DODOMA, mmoja kati yao alikutwa akiwa amefariki dunia aliyetambuliwa kwa jina moja la TAJIRU anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 – 30. Watu hao walikuwa wakisafirishwa kwa Lori lenye namba za usajili T.353 AYW Mitsubishi...
11 years ago
MichuziWAHAMIAJI HARAMU 46 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI RINGA
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
‘Msihifadhi wahamiaji haramu’
KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru, Rachel Kassanda, amewataka Watanzania kuacha tabia ya kuwahifadhi wahamiaji haramu, kwani kwa kufanya hivyo ni kuhatarisha amani na usalama wa nchi. Akizungumza baada...
11 years ago
Habarileo02 Jan
JK aonya wahamiaji haramu
RAIS Jakaya Kikwete ameonya wahamiaji haramu wanaorejea nchini baada ya Operesheni Kimbunga kumalizika na kusema kama wanafanya hivyo, wanajisumbua, hawatadumu nchini.