Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wandishi habari 9 wakamatwa Ethiopia

Kamati ya kutetea haki za waandishi habari imelaani vikali kitendo cha serikali ya Ethiopia cha kuwakamata waandishi habari 9

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WANDISHI WA HABARI MBEYA WAPATIWA MAFUNZO

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Profesa Norman Sigallah, akifungua mafunzo ya Utekelezaji wa adhabu mbadala kwa wafungwa kwa Waandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya ndani katika Hoteli ya Gr Soweto jijini Mbeya.Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Probesheni na huduma kwa jamii, Charles Nsanze, akimkaribisha mgeni rasmiWaandishi wa habari wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo juu ya adhabu mbadala kwa wafungwaKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji 64 kutoka Ethiopia wakamatwa

Wahamiaji haram 64 kutoka Ethiopia wamekamatwa nchini Tanzania wakiaminika kwenda kusini mwa Afrika.

 

10 years ago

Dewji Blog

Polisi Singida waichapa timu ya wandishi wa habari Singpress 3-2

DSC04943

Timu waandishi wa habari mkoa wa Singida iliyopambana na timu ya polisi katika mechi kali na ya kusisimua ya bonanza iliyofanyika uwanja wa Namfua.

Na Nathaniel Limu, Singida

TIMU ya soka ya jeshi la polisi mkoani Singida,imeichapa timu ya klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida goli 3-2 kwenye mchezo wa bonanza iliyoandaliwa na kufadhiliwa na kampuni ya simu Vodacom Tanzania tawi la Singida.

Mechi hiyo kali na ya kusisimua,imefanyika kwenye uwanja wa michezo wa Namfua...

 

10 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 64 RAIA WA ETHIOPIA WAKAMATWA MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Wananchi limewakamata Wahamiaji haramu 64  raia wa nchi ya ETHIOPIA (Wahabeshi) katika Kijiji cha KIDOKA, Kata ya KIDOKA, Tarafa ya GOIMA, Wilaya ya na CHEMBA na Mkoa wa DODOMA, mmoja kati yao alikutwa akiwa amefariki dunia aliyetambuliwa kwa jina moja la TAJIRU anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 – 30. Watu hao walikuwa wakisafirishwa kwa Lori lenye namba za usajili T.353 AYW Mitsubishi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar azungumza na wandishi wa Habari kuhusiana na sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi !!

DSC_0065

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu  maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 kufikia miaka 52 Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.

Na Khadija Khamis – Maelezo   

[ZANZIBAR] Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema kuwa Maadhimisho ya Shereha za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yapo kama kawaida na yanatarajiwa kuanza  rasmi tarehe 3.12.2016  kwa kazi za usafi  wa mazingira katika maeneo mbali mbali  ya makaazi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Sweden ‘RFSU’ laendesha mafunzo ya azazi ujinsia kwa wandishi wa habari 35 nchini

DSC00572

Meneja wa project ya TMEP, Cuthbert Maendaenda akitoa mada yake ya ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia wakati akitoa mafunzo kwa waandishi wa mikoa ya Singida na Rukwa. Mafunzo hayo ya siku tatu,yamefanyikia kwenye ukumbi wa mikutano wa Kalenga West Park Motel and Tours mjini Iringa.

Na Nathaniel Limu, Iringa

JUMLA ya waandishi wa habari 35 kutoka mikoa ya Rukwa na Singida wamehudhuriahudhuria mafunzo yanayohusu ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TARIFA YA UZINDUZI WA CHANJO YA KUZUIA SURUA NA RUBELLA KWA WANDISHI WA HABARI.

 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Wizara hiyo Mnazimmoja kuhusu uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella kwa watoto utakaofanyika kesho Oktoba 18 katika kijiji cha Uroa Mkoa Kusini Unguja.  Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano wa Naibu Waziri wa Afya uliozungumiza uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella itakayoanza kesho kijiji cha Uroa. Mratibu wa chanjo Zanzibar Yussuf Haji Makame akitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani