NAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TARIFA YA UZINDUZI WA CHANJO YA KUZUIA SURUA NA RUBELLA KWA WANDISHI WA HABARI.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Wizara hiyo Mnazimmoja kuhusu uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella kwa watoto utakaofanyika kesho Oktoba 18 katika kijiji cha Uroa Mkoa Kusini Unguja. Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano wa Naibu Waziri wa Afya uliozungumiza uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella itakayoanza kesho kijiji cha Uroa. Mratibu wa chanjo Zanzibar Yussuf Haji Makame akitoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA YA UZINDUZI WA CHANJO YA KUZUIA SURUA NA RUBBELA KWA WAANDISHI WA HABARI
10 years ago
Habarileo19 Oct
Kampeni ya chanjo ya surua, rubella yaanza kwa kishindo
SERIKALI imesema haitasita kuagiza chanjo zilizopo na zitakazogunduliwa baadaye ili kuwakinga Watanzania na maradhi yanayozuilika kwa chanjo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashidi.
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
RC Mahiza ahimiza chanjo ya surua na rubella
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, amewataka wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la chanjo ya surua na rubella inayoanza leo hadi Oktoba 24 mwaka huu na kwamba hazina madhara....
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Wizara kutoa chanjo ya Surua, Rubella
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii ikishirikiana na wadau wa maendeleo imeandaa kampeni shirikishi ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watoto wenye kuanzia miezi tisa...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Msisitizo uwekwe kwenye chanjo za surua, rubella
MARADHI ni moja ya maadui wakuu ambao Mwalimu Julius Nyerere alitangaza kupambana nao mara baada ya nchi kupata uhuru. Ni dhahiri kuwa Mwalimu Nyerere aliyataja maradhi kama moja ya maadui wakubwa...
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Asilimia 95 ya watoto kupewa chanjo ya surua na rubella
HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa inatarajia kutoa chanjo ya surua na rubella kwa watoto 111,711 na dawa za matende na mabusha kwa watu wazima 264,076 katika kampeni inayoendelea nchini. Akizungumza...
10 years ago
MichuziCHANJO YA SURUA-RUBELLA, MATENDE NA MABUSHA KUTOLEWA
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inatarajia kufanya kampeni shirikishi ya ugonjwa wa Surua na Rubella kuanzia tarehe 18 hadi 24 oktoba, 2014.
Akizungumzia kampeni hiyo itakayofanyika nchini nzima leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Donan Mmbando amesema kuwa itawahusisha watoto wenye umri wa kuanzia miezi 9 hadi miaka 15.
Amesema kampeni hiyo itaambatana na utoaji wa matone ya Vitamini...
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella kuzinduliwa leo
KAMPENI ya chanjo dhidi ya ugonjwa surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi miaka 15 inatarajia kuzinduliwa leo. Katika kampeni hiyo itakayodumu kwa siku saba, watoto...
10 years ago
Dewji Blog22 Oct
Chanjo ya Surua na Rubella: Manispaa ya Ilala yavuka lengo
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake leo.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Manispaa ya Ilala imevuka lengo la kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watu 468,297 ambapo awali lengo lao lilikuwa kutoa chanjo hiyo kwa watu 445,801 wakati wa wiki ya kutoa chanjo hiyo nchini.
Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa...