Polisi Singida waichapa timu ya wandishi wa habari Singpress 3-2
Timu waandishi wa habari mkoa wa Singida iliyopambana na timu ya polisi katika mechi kali na ya kusisimua ya bonanza iliyofanyika uwanja wa Namfua.
Na Nathaniel Limu, Singida
TIMU ya soka ya jeshi la polisi mkoani Singida,imeichapa timu ya klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida goli 3-2 kwenye mchezo wa bonanza iliyoandaliwa na kufadhiliwa na kampuni ya simu Vodacom Tanzania tawi la Singida.
Mechi hiyo kali na ya kusisimua,imefanyika kwenye uwanja wa michezo wa Namfua...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 Dec
TIMU YA EALA WAICHAPA BURUNDI 4-2
Kipindi cha...
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Ranko Banadi Mwenyekiti mpya wa Singpress mkoani Singida
Mwenyekiti mpya wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida, Ranko Banadi, akiwashukuru wapiga kura na wanachama kwa ujumla waliompata kura za kutosha kwenye uchaguzi uliofanyika na kuweza kushinda nafasi hiyo.Wa kwanza kushoto ni Katibu mtendaji Emmanuel Michael.Wa kwanza kulia ni mweka hazina Doris Meghji anayefuatia ni Makamu mwenyekiti, Shaban Msangi.
Mmoja wa wanachama wa Singpress Leonard Manga, akipiga kura ya siri kuchangua kiongozi anayempenda miongoni mwa waombaji...
10 years ago
Vijimambo12 Dec
TIMU YA TANZANIA WAICHAPA EALA MABAO 4-0
9 years ago
Dewji Blog15 Oct
Wanachama wa SINGPRESS Mkoani Singida wanolewa juu ya uandishi bora wa makala
Mkufunzi wa mafunzo ya uandishi bora wa makala, Charles Kayoka,(wa kwanza kulia),akitoa ufafanuzi juu wa namna nzuri ya kuandika makala kwa wananchama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida. Mafunzo hayo ya siku nne,yameandaliwa na kufadhiliwa na Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC).
Baadhi ya wananchama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida,wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na mkufunzi Charles Kayoka, juu ya uandishi bora...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Wanahabari Mkoa wa Singida (Singpress) wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya wa NHIF!
11 years ago
Dewji Blog06 May
Singpress yatoa msaada wa zaidi ya laki nane kwa Walemavu Siku ya Uhuru wa Habari
Mwalimu mkuu shule ya msingi mchanganyiko Ikungi waliya ya Ikungi, Olivary Kamilly, akizungumza ofisini kwake na wanachama wa klabu ya waandishi mkoa wa Singida, ambapo kwa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, walitoa msaada wenye thamani ya zaidi ya shilingi laki nane kwa wanafunzi walemavu wakiwemo Albino katika shule hiyo.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
WANACHAMA wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida wameadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari...
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Wandishi habari 9 wakamatwa Ethiopia
10 years ago
VijimamboWANDISHI WA HABARI MBEYA WAPATIWA MAFUNZO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10