Wanachama wa SINGPRESS Mkoani Singida wanolewa juu ya uandishi bora wa makala
Mkufunzi wa mafunzo ya uandishi bora wa makala, Charles Kayoka,(wa kwanza kulia),akitoa ufafanuzi juu wa namna nzuri ya kuandika makala kwa wananchama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida. Mafunzo hayo ya siku nne,yameandaliwa na kufadhiliwa na Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC).
Baadhi ya wananchama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida,wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na mkufunzi Charles Kayoka, juu ya uandishi bora...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Ranko Banadi Mwenyekiti mpya wa Singpress mkoani Singida
Mwenyekiti mpya wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida, Ranko Banadi, akiwashukuru wapiga kura na wanachama kwa ujumla waliompata kura za kutosha kwenye uchaguzi uliofanyika na kuweza kushinda nafasi hiyo.Wa kwanza kushoto ni Katibu mtendaji Emmanuel Michael.Wa kwanza kulia ni mweka hazina Doris Meghji anayefuatia ni Makamu mwenyekiti, Shaban Msangi.
Mmoja wa wanachama wa Singpress Leonard Manga, akipiga kura ya siri kuchangua kiongozi anayempenda miongoni mwa waombaji...
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
Hillary Shoo wa Jambo Leo Singida, anyakua cheti maalumu kwa uandishi bora wa habari za Usalama Barabarani mkoa wa Singida
Mwandishi wa habari wa Gazeti la Jamboleo Mkoa wa Singida, Hillary Shoo,akipokea cheti maalumu kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Singida, Aziza Mumba ikiwa ni mchango wake mkubwa katika kuandika habari za kuelimisha jamii juu ya wiki ya nenda kwa usalama barabara Mkoa wa Singida, halfa hiyo ilifanyika jana kwenye viwanja vya kituo cha mabasi yaendeyo mikoani, kulia ni Kamanda wa polisi Mkoani humo Thobias Sedoyeka.( PICHA NA MPIGA HISANI YA MO BLOG).
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-e0S1BtREpIs/Uv-TtpPiWBI/AAAAAAAFNYM/S5b7_1veTxo/s72-c/unnamed+(17).jpg)
Wanahabari Lindi wanolewa kuhusiana na Uandishi wa Ukatili wa Kijinsia
Sekta ya Habari Imetakiwa kutoa elimu zaidi ya ukatili wa Kijinsia ili kujenga Taifa lenye amani kwa wananchi Bila kujali Jinsia ,Dini na kabila.
Wito huo umetolewa na Dr Monica Mhoja , Naibu Mkurugenzi wa mradi wa Champion unaofadhiliwa na Usaid alipokuwa akitoa mada katika warsha ya wanahabari wa Mkoa wa Lindi inayoendelea katika Ukumbi wa Sakina Mnazi mmoja Manispaa ya Lindi.
Dr Mhoja amebainisha kuwa sekta ya habari ina wajinu mkubwa kwa...
10 years ago
MichuziWaandishi wa habari nyanda za juu kusini wanolewa juu ya habari za uchaguzi
Semina hiyo inaendeshwa kwa pamoja na shirika la utangazaji la Uingereza BBC na baraza la habari Tanzania MTC.(Picha na Edwin Moshi wa...
10 years ago
Dewji Blog11 Apr
Polisi Singida waichapa timu ya wandishi wa habari Singpress 3-2
Timu waandishi wa habari mkoa wa Singida iliyopambana na timu ya polisi katika mechi kali na ya kusisimua ya bonanza iliyofanyika uwanja wa Namfua.
Na Nathaniel Limu, Singida
TIMU ya soka ya jeshi la polisi mkoani Singida,imeichapa timu ya klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida goli 3-2 kwenye mchezo wa bonanza iliyoandaliwa na kufadhiliwa na kampuni ya simu Vodacom Tanzania tawi la Singida.
Mechi hiyo kali na ya kusisimua,imefanyika kwenye uwanja wa michezo wa Namfua...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Wanahabari Mkoa wa Singida (Singpress) wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya wa NHIF!
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Mbinu bora za Uandishi
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Mbinu za Uandishi Bora
10 years ago
Mwananchi20 May
Uandishi Bora wa Kiswahili