Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandishi Bora wa Kiswahili

MAKOSA yanayojitokeza katika magazeti  mengi ya Kiswahili ni kutokana na waandishi kutokuwa makini na wengine kutokuwa na ujuzi wa kutosha katika sarufi na fasihi Ya Kiswahili. Ninaposema waandishi nina maana ya kuwahusisha  wataalamu wengine wa uandishi wa habari kama vile wahariri, wahakiki kurasa na wadhibiti maandishi. Hawa wote ni muhimu katika uandishi bora. Hebu soma sentensi zifuatazo: “Jukwaa la Wanarukwa lina dhumuni la kuhamasisha watu kuchangia sekta za kilimo,...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Makosa katika uandishi wa Kiswahili

NAPENDA kuwafahamisha wasomaji wangu kuwa mfululizo ya makala zangu utakuwa ni hazina kubwa kwa walimu, wanafunzi wa shule za  msingi, sekondari na mafunzo ya ualimu pamoja na wasomaji wa kawaida ambao ni wakereketwa wa Kiswahili. Sasa soma sentensi zifuatazo kwa makini.

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi katika uandishi wa Kiswahili

Kabla ya kuanza makala yangu,  napenda  kuwafahamisha  wasomaji  wangu kuwa  baadhi yao wameniletea   maoni na mawazo  kuhusu mambo mbalimbali ya  msingi katika  lugha.  Ni jambo jema  kama nitawaleteeni   mawazo  hayo  ili nanyi muweze  kuyatafakari.  Kwa mfano  mwandishi mmoja  mwenye  simu na. 0713 614058 aliniandikia,  akisema,  “ Ndugu, Mtanzania huyu asiyejiamini  katika biashara za kimataifa  kwa sababu...

 

11 years ago

Mwananchi

Makosa katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili

Napenda kuendelea na makala zangu kuhusu makosa yanayojitokeza katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Mifano ni kama ifuatayo:

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi ahamasisha uandishi wa vitabu kwa Kiswahili

RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi amewataka wanazuoni kuandika vitabu vingi kwa lugha ya Kiswahili, kuwasaidia Watanzania kuelewa maudhui ya vitabu hivyo pamoja na kuchangia maendeleo ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi katika uandishi wa lugha ya Kiswahili

>KABLA kuanza makala yangu,  napenda  kuwafahamisha  wasomaji  wangu kuwa  baadhi yao wameniletea   maoni na mawazo  kuhusu mambo mbalimbali ya  msingi katika  lugha.

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WANNE WAPATA TUZO ZA UANDISHI WA FASIHI YA KISWAHILI AFRIKA


Afisa Masoko wa Alaf, Theresia Mmasy akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani)jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwandishi wa kitabu cha Kolonia Santita, Enock Maregesi na Mwandishi wa Ushairi la Kifaurongo, Christopher Budebah.
Mkuu wa Idara ya Fasihi ya Mawasiliano na Uchapishaji (TATAKI) WA wa chuo kikuu cha Dar es Salaam akiwa na baadhi ya viongozi ya ALAF Limited. Mshiriki wa Taaluma ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa, Adrian Mtembei  akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu za Uandishi Bora

Kwa kuwa waandishi wengi wamesoma katika vyuo mbalimbali vya uandishi wa habari, imeonekana  kuwa kuna haja ya kuwa na mwongozo wa uandishi bora na aina za mitindo inayotumika na kukubalika. Mwongozo huu umejikita katika matumizi fasaha na sanifu ya lugha ya Kiswahili ambayo ndiyo msingi katika uandishi wa habari. Ifahamike kuwa kila  kampuni  ya uchapishaji wa magazeti au vitabu na kampuni za televisheni na redio huwa na mtindo wao wa kuandika au kutangaza habari ambao ni tofauti...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu bora za Uandishi

Katika makala yaliyopita nieleza juu ya matumizi sahihi ya maneno katika uandishi. Nilisisitiza kuwa waandishi  hawana budi kuwa makini wanapoandika kwa kuchagua maneno yaliyo sahihi na sanifu. Sasa nitaendelea kama ifuatavyo: 

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanachama wa SINGPRESS Mkoani Singida wanolewa juu ya uandishi bora wa makala

IMG_6738

Mkufunzi wa mafunzo ya uandishi bora wa makala, Charles Kayoka,(wa kwanza kulia),akitoa ufafanuzi juu wa namna nzuri ya kuandika makala kwa wananchama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida. Mafunzo hayo ya siku nne,yameandaliwa na kufadhiliwa na Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC).

IMG_6742

Baadhi ya wananchama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida,wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na mkufunzi Charles Kayoka, juu ya uandishi bora...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani