Makosa katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili
Napenda kuendelea na makala zangu kuhusu makosa yanayojitokeza katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Mifano ni kama ifuatayo:
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Makosa katika uandishi wa Kiswahili
NAPENDA kuwafahamisha wasomaji wangu kuwa mfululizo ya makala zangu utakuwa ni hazina kubwa kwa walimu, wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na mafunzo ya ualimu pamoja na wasomaji wa kawaida ambao ni wakereketwa wa Kiswahili. Sasa soma sentensi zifuatazo kwa makini.
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Makosa katika magazeti ya Kiswahili
KWA kipi  Kwa kipindi kirefu, nimekuwa nikipitia magazeti ya Kiswahili yanayochapishwa hapa nchini. Nimegundua kuwa baadhi ya waandishi na wahariri hawako makini katika matumizi ya Kiswahili fasaha. Pamoja na juhudi zangu za kusahihisha makosa yanayojitokeza katika magazeti, bado juhudi zangu hazijazaa matunda ya kuridhisha. Hii ina maana kuwa wasomaji wangu hasa waandishi wa habari hawasomi makala hizi au hawazingatii maoni yangu. Kwa mfano angalia mifano hapa chini.
10 years ago
Mwananchi20 Mar
Baadhi ya makosa yanayopatikana katika magazeti ya Kiswahili.
Kama alivyo Sheikh, Mchungaji au Padre, kwamba kila mara wanawahubiria waumini wao ili wawe kwenye mstari katika imani zao bila kutetereka. nami pia napenda kuendelea na maelezo yangu kuhusu njia za kuepuka makosa yanayojitokeza katika uandishi kwa jumla maelezo yangu ijapokuwa yangu hayahusiani na imani.
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Baadhi ya makosa yanayojitokeza katika baadhi ya magazeti ya kiswahili
MAKOSA yanayojitokeza katika magazeti mengi ya Kiswahili ni kutokana na waandishi kutokuwa makini na wengine kutokuwa na ujuzi wa kutosha katika sarufi na fasihi Ya Kiswahili
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Magazeti ya Kiswahili yanafanya makosa ya kizembe
Katika mapitio ya magazeti ya Kiswahili bado makosa yanaonekana na hivyo hatuna budi kukemea pale ambapo makosa yenyewe ni ya kizembe. Nimetumia maneno ‘ya kizembe’ kwa sababu ni aibu kwa mwandishi kuandika neno kujiuzuru badala ya kujiuzulu kwa sababu matumizi ya herufi /l/ na /r/ ni tofauti. Hivyo kuyachanganya ni uzembe kwani tunapokuwa na wasiwasi tunatumia kamusi. Je, wewe mwandishi wa makala au wa habari unayo kamusi ya Kiswahili. Kama huna jitahidi ununue moja...
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Mambo ya msingi katika uandishi wa Kiswahili
Kabla ya kuanza makala yangu, napenda kuwafahamisha wasomaji wangu kuwa baadhi yao wameniletea  maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali ya msingi katika lugha. Ni jambo jema kama nitawaleteeni  mawazo hayo ili nanyi muweze kuyatafakari. Kwa mfano mwandishi mmoja mwenye simu na. 0713 614058 aliniandikia, akisema, “ Ndugu, Mtanzania huyu asiyejiamini katika biashara za kimataifa kwa sababu...
10 years ago
Mwananchi19 May
Mambo ya msingi katika uandishi wa lugha ya Kiswahili
>KABLA kuanza makala yangu, napenda kuwafahamisha wasomaji wangu kuwa baadhi yao wameniletea  maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali ya msingi katika lugha.
10 years ago
Mwananchi25 May
Makosa katika Kiswahili
a kuanza makala yangu kwa kutoa maoni machache ya wasomaji wa makala zangu ambao baadhi yao wametoa maoni binafsi. Baadaye nitaendelea kuyapitia magazeti ya Kiswahili kwa kuchunguza makosa yaliyojitokeza na kutoa mapendekezo.
10 years ago
Mwananchi29 Mar
Makosa katika Magazeti
“ Alitaka mabadiliko ya teknologia ya muundo wa meli nyingi mpya ambazo zinajengwa huku haziwekewi vifaa vya kupakuwa mizigo kuwa ni tatizo jingine.â€
Inatakiwa kuandika upya sentensi hii ili kuleta maana iliyokusudiwa. Kwa mfano maneno ‘huku haziwekewi vifaa vya kupakuliwa’ ilipaswa kuandikwa ‘bila kuwekewa…†Pia neno ‘teknologia lilitakiwa kuandikwa ‘teknolojia’. Tatu, kupakiwa lingeandikwa ‘kupakua’ kwani tahajia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania