Makosa katika Magazeti
“ Alitaka mabadiliko ya teknologia ya muundo wa meli nyingi mpya ambazo zinajengwa huku haziwekewi vifaa vya kupakuwa mizigo kuwa ni tatizo jingine.†Inatakiwa kuandika upya sentensi hii ili kuleta maana iliyokusudiwa. Kwa mfano maneno ‘huku haziwekewi vifaa vya kupakuliwa’ ilipaswa kuandikwa ‘bila kuwekewa…†Pia neno ‘teknologia lilitakiwa kuandikwa ‘teknolojia’. Tatu, kupakiwa lingeandikwa ‘kupakua’ kwani tahajia...
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Makosa katika magazeti ya Kiswahili
10 years ago
Mwananchi20 Mar
Baadhi ya makosa yanayopatikana katika magazeti ya Kiswahili.
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Makosa katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Baadhi ya makosa yanayojitokeza katika baadhi ya magazeti ya kiswahili
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Magazeti ya Kiswahili yanafanya makosa ya kizembe
10 years ago
Dewji Blog15 May
Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
10 years ago
Mwananchi25 May
Makosa katika Kiswahili
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Ni makosa kulindana katika maovu
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Makosa katika uandishi wa Kiswahili