Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baadhi ya makosa yanayojitokeza katika baadhi ya magazeti ya kiswahili

MAKOSA  yanayojitokeza katika magazeti  mengi ya Kiswahili ni kutokana na waandishi kutokuwa makini na wengine kutokuwa na ujuzi wa kutosha katika sarufi na fasihi Ya Kiswahili

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Baadhi ya makosa yanayopatikana katika magazeti ya Kiswahili.

Kama alivyo Sheikh,  Mchungaji au Padre,  kwamba  kila mara wanawahubiria  waumini wao  ili wawe  kwenye mstari  katika imani zao bila kutetereka.  nami pia napenda kuendelea  na maelezo  yangu  kuhusu njia za kuepuka makosa yanayojitokeza katika uandishi kwa jumla maelezo yangu ijapokuwa  yangu hayahusiani na imani.

 

10 years ago

Mwananchi

Makosa katika magazeti ya Kiswahili

KWA kipi   Kwa kipindi kirefu, nimekuwa nikipitia magazeti ya Kiswahili yanayochapishwa hapa nchini. Nimegundua kuwa baadhi ya waandishi na wahariri hawako makini katika matumizi ya Kiswahili fasaha. Pamoja na juhudi zangu za kusahihisha makosa yanayojitokeza katika magazeti, bado juhudi zangu hazijazaa matunda ya kuridhisha. Hii ina maana kuwa wasomaji wangu hasa waandishi wa habari hawasomi makala hizi au hawazingatii maoni yangu. Kwa mfano angalia mifano hapa chini.

 

9 years ago

CCM Blog

MAPITIO YA MAGAZETI YA LEO KATIKA BAADHI YA TELEVISHENI ZA TANZANIA

STAR TV CHANNEL 10 AZAM TV MLIMANI TV # Imetayarishwa na Bashir Nkoromo

 

11 years ago

Mwananchi

Makosa katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili

Napenda kuendelea na makala zangu kuhusu makosa yanayojitokeza katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Mifano ni kama ifuatayo:

 

11 years ago

Mwananchi

Baadhi ya makosa wafanyayo viongozi mahali pa kazi — 1

Ni ukweli usiopingika kuwa kufanya makosa ni sehemu ya ubinadamu na kukosea ni kujifunza. Pia, wahenga walinena kujikwaa si kuanguka. 

 

10 years ago

Vijimambo

HAYA NDIO BAADHI YA MAAZIMIO YALIYOSABABISHA BUNGE KUAHIRISHWA KWA KUPINGA BAADHI YA MAADHIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW



MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani

Pendekezo la pili kuhusu Rugemalira, serikali imeweka marekebisho kuhusu uhalali wa pesa za Rugemalira alizogawa

Azimio la TATU limerekebishwa kuwa waliopokea pesa wachunguzwe na kuchukuliwa hatua mahususi kwa mujibu wa sheria

Pendekezo la NNE. Kamati inazitaka mamlaka kuzitangaza benki za Mkombozi na Stanbic kama asasi za utakatishaji fedha
Azimio la 4...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hizi ni baadhi ya jumbe za baadhi ya Wasanii wa Bongo movies wakionyesha kuguswa na wimbi la mauaji ya ndungu zetu wenye ulemavu wa ngozi

Shamsa Ford:

“Yaani hata sijui nisemeje maana kila nikifikilia mwanadamu anayefanya ukatili huu wa kuwaua walemavu wa ngozi naumia sana.kikubwa naomba Mungu wote wanaohusika na huu unyama wakamatwe.. inshaallah Mwenyezi Mungu atasimamia kwa hili”.

Riyama Ally:

“Kiukweli siwezi kulala leo bila kusema haya nitakayosema.. hawa ni wenzetu na wanastahili tabasamu zaidi ya wanalolitoa wenyewe wanahitaji mapenzi yetu ya ziada.. lakini wapi binaadamu wenye uchu na tamaa za madaraka, pesa,...

 

10 years ago

Mwananchi

Magazeti ya Kiswahili yanafanya makosa ya kizembe

Katika mapitio ya magazeti ya Kiswahili bado makosa yanaonekana na hivyo hatuna budi kukemea pale ambapo makosa yenyewe ni ya kizembe. Nimetumia maneno ‘ya kizembe’ kwa sababu ni aibu kwa mwandishi kuandika neno kujiuzuru badala ya kujiuzulu kwa sababu matumizi ya herufi  /l/ na /r/  ni tofauti. Hivyo kuyachanganya ni uzembe kwani tunapokuwa na wasiwasi tunatumia kamusi. Je, wewe mwandishi wa makala au wa habari unayo kamusi ya Kiswahili. Kama huna jitahidi ununue moja...

 

10 years ago

Mwananchi

Makosa katika Kiswahili

a kuanza makala yangu kwa kutoa maoni machache ya wasomaji  wa makala zangu ambao baadhi yao wametoa maoni binafsi. Baadaye nitaendelea kuyapitia magazeti ya Kiswahili kwa kuchunguza makosa yaliyojitokeza na kutoa mapendekezo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani