Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi ahamasisha uandishi wa vitabu kwa Kiswahili

RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ally Hassan Mwinyi amewataka wanazuoni kuandika vitabu vingi kwa lugha ya Kiswahili, kuwasaidia Watanzania kuelewa maudhui ya vitabu hivyo pamoja na kuchangia maendeleo ya nchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ALHAJ MWINYI: FUNDISHENI SAYANSI KWA KISWAHILI

 Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati akifungua Maonyesho ya 5 ya Sayansi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi Mtendaji wa Young Scientists Tanzania (YST) Dk. Gosbert Kamugisha akimtambulisha Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kwa Balozi wa Kenya nchini Tanzania Chirau Ali Mwakwere kabla ya kufungua maonyesho hayo mwishoni mwa wiki.
Na Daniel Mbega wa brotherdanny.comRAIS mstaafu wa awamu ya pili,...

 

10 years ago

Mwananchi

Uandishi Bora wa Kiswahili

MAKOSA yanayojitokeza katika magazeti  mengi ya Kiswahili ni kutokana na waandishi kutokuwa makini na wengine kutokuwa na ujuzi wa kutosha katika sarufi na fasihi Ya Kiswahili. Ninaposema waandishi nina maana ya kuwahusisha  wataalamu wengine wa uandishi wa habari kama vile wahariri, wahakiki kurasa na wadhibiti maandishi. Hawa wote ni muhimu katika uandishi bora. Hebu soma sentensi zifuatazo: “Jukwaa la Wanarukwa lina dhumuni la kuhamasisha watu kuchangia sekta za kilimo,...

 

9 years ago

Mwananchi

Makosa katika uandishi wa Kiswahili

NAPENDA kuwafahamisha wasomaji wangu kuwa mfululizo ya makala zangu utakuwa ni hazina kubwa kwa walimu, wanafunzi wa shule za  msingi, sekondari na mafunzo ya ualimu pamoja na wasomaji wa kawaida ambao ni wakereketwa wa Kiswahili. Sasa soma sentensi zifuatazo kwa makini.

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi katika uandishi wa Kiswahili

Kabla ya kuanza makala yangu,  napenda  kuwafahamisha  wasomaji  wangu kuwa  baadhi yao wameniletea   maoni na mawazo  kuhusu mambo mbalimbali ya  msingi katika  lugha.  Ni jambo jema  kama nitawaleteeni   mawazo  hayo  ili nanyi muweze  kuyatafakari.  Kwa mfano  mwandishi mmoja  mwenye  simu na. 0713 614058 aliniandikia,  akisema,  “ Ndugu, Mtanzania huyu asiyejiamini  katika biashara za kimataifa  kwa sababu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi katika uandishi wa lugha ya Kiswahili

>KABLA kuanza makala yangu,  napenda  kuwafahamisha  wasomaji  wangu kuwa  baadhi yao wameniletea   maoni na mawazo  kuhusu mambo mbalimbali ya  msingi katika  lugha.

 

11 years ago

Mwananchi

Makosa katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili

Napenda kuendelea na makala zangu kuhusu makosa yanayojitokeza katika uandishi kwenye magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Mifano ni kama ifuatayo:

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WANNE WAPATA TUZO ZA UANDISHI WA FASIHI YA KISWAHILI AFRIKA


Afisa Masoko wa Alaf, Theresia Mmasy akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani)jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwandishi wa kitabu cha Kolonia Santita, Enock Maregesi na Mwandishi wa Ushairi la Kifaurongo, Christopher Budebah.
Mkuu wa Idara ya Fasihi ya Mawasiliano na Uchapishaji (TATAKI) WA wa chuo kikuu cha Dar es Salaam akiwa na baadhi ya viongozi ya ALAF Limited. Mshiriki wa Taaluma ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa, Adrian Mtembei  akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee Mwinyi, Mkapa, Dk Mengi, Dewji, tunasubiri vitabu vyenu

Vitabu vina uhondo. Wasiosoma wanakosa mengi. Kwa wenzetu wanaojua nafasi ya vitabu na machapisho mengine, sekta ya vitabu ina mafanikio makubwa kijamii na kiuchumi.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANDISHI WA VITABU YASIN KAPUYA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC

Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akimwelezea Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ya jinsi gani vitabu vyake vinavyoweza kumkwamua mwananchi wa hali ya chini na kumfikisha juu katika kumboreshea maisha mapya. Akijitolea mfano wake mwenyewe alipoanzia shimoni Kariakoo mpaka kufika nchni Marekani na sasa kualikwa katika mikutano mikubwa ya kutoa semina ya jinsi gani unavyoweza au kampuni inavyoweza kuwa namba moja katika sekta ya biashara.Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akichangia jambo na Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani