Wanahabari Mkoa wa Singida (Singpress) wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya wa NHIF!
Kaimu meneja wa NHIF mkoa wa Singida,Adamu Salum,akiongea na waandishi wa habari kwenye banda la mfuko huo lililopo viwanja vya peoples klabu kwenye maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambayo yalikuwa yafanyike mkoani hapa kitaifa.Imedaiwa maadhimisho hayo yalifutwa na orais John Pombe Magufuli.Picha zote na Nathaniel Limu. Na Nathaniel Limu [SINGIDA] Wanachama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida, wamehimizwa kujiunga na mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF),...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).
Mkuu wa Mkoa wa kigoma akiwaeleza wafanyabiashara(ambai hawapo pichani) wa Kigoma umuhimu wa kujiunga na mfuko wa bima ya afya(NHIF) Ofisa matekelezo kutoka mfuko wa bima ya afya Kigoma Evance Ndyamkama akiongea na wafanyabiashara wa Kigoma jinsi ya kujiunga na mfuko huo Makamu mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Kigima(TCCIA) Sethi Naftari akisona hotuba ya wafanyabiashara kwa Mgeni rasmi Issa Machibya na maofisa mfuko wa bima ya afya Baadhi ya wafanyabiashara wa Mkoa wa...
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Na Bakari Issa,Dar es Salaaam
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...

MichuziRC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)
NA MWANDISHI WETU,TANGA.
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...

Dewji Blog19 Dec
Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) wazindua huduma za madaktari bingwa mkoani Singida!!
Kaimu mkurugenzi mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF),Michael Mhando,akitoa ufafanuzi juu ya lengo la mfuko huo kutuma madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali mikoani,kuwa pamoja na mambo mengine,ni kusogeza karibu zaidi huduma zinazotolewa na madakatari hao ambao ni adimu.Wa pili kushoto (waliokaa) ni mkuu wa mkoa wa Singida, DkParseko Kone na wa kwanza kulia ni katibu tawala mkoa wa Singida, Festo Kang’ombe.
Na Nathaniel Limu
[Singida] Serikali mkoani Singida, imewataka...
11 years ago
MichuziWatanzania Wahimizwa Kujiunga na NHIF kabla ya kuugua
WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kabla ya kuugua ili kuepukana na usumbufu mkubwa ambao umekuwa ukijitokeza.
Rai hiyo imetolewa na Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Ilala Bw. Christopher Mapunda wakati akiwasilisha mada katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima.
Amesema kuwa utafiti unaonesha watu wengi huanza harakati za kutaka kuwa na bima ya afya wakiwa na wagonjwa na wanapoona gharama za matibabu zinawalemea.
“Watu...

GPLKAMPENI YA SIKU 60 YA KUJIUNGA NA MFUKO WA NHIF
Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni… ...
10 years ago
MichuziWANANCHI WA MUHEZA WAHAMASIKA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII, ZAIDI YA KAYA 65 ZENYE WANACHAMA 390 WAHAMASIKA NA KUJIUNGA PAPO HAPO
Mkuu wa wilaya ya Muheza Subira Mgalu kushoto akipokea risiti ya malipo mara baada ya kujiunga kuwa mwanachama wa mfuko wa afya ya Jamii (CHF) leo wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo iliyofanyika kwenye Kata ya Potwe wilayani humo anayemkabidhi risiti hiyo ni Afisa Tabibu wa Zahanati ya Potwe wilayani humo Dr.Samweli Mudhihiri ambapo zaidi ya kaya 65 zenye wanachama 390 walihamasika na kujiunga papo hapo. PICHA ZOTE NA OSCAR ASSENGA,TANGA. Picha namba moja ni Mkuu wa wilaya ya...
10 years ago
MichuziNHIF KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO KATIKA HALMASHAURI 54 NCHINI
Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichni) katika makao makuu ya NHIF Bendera Tatu jijini Dar es salaam kuhusu kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo, Kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kutoka mkushoto ni Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania