Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania Wahimizwa Kujiunga na NHIF kabla ya kuugua

WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kabla ya kuugua ili kuepukana na usumbufu mkubwa ambao umekuwa ukijitokeza.
Rai hiyo imetolewa na Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Ilala Bw. Christopher Mapunda wakati akiwasilisha mada katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima.
Amesema kuwa utafiti unaonesha watu wengi huanza harakati za kutaka kuwa na bima ya afya wakiwa na wagonjwa na wanapoona gharama za matibabu zinawalemea.
“Watu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wanahabari Mkoa wa Singida (Singpress) wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya wa NHIF!

IMG_0623

Kaimu meneja wa NHIF mkoa wa Singida,Adamu Salum,akiongea na waandishi wa habari kwenye banda la mfuko huo lililopo viwanja vya peoples klabu kwenye maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambayo yalikuwa yafanyike mkoani hapa kitaifa.Imedaiwa maadhimisho hayo yalifutwa na orais John Pombe Magufuli.Picha zote na Nathaniel Limu. Na Nathaniel Limu [SINGIDA] Wanachama wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida, wamehimizwa kujiunga na mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kagera wahimizwa kujiunga NSSF

WANANCHI mkoani Kagera, wametakiwa kujiunga na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ili waweze kupata mafao bora ikiwemo bima ya afya bure kwa familia. Wito huo ulitolewa mjini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wahimizwa kujiunga mifuko ya jamii

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, amewataka wanachama wapya  kujiunga kwa wingi kwenye mifuko hiyo kwa sababu  muda si...

 

10 years ago

Habarileo

Waelimishwa kujiunga na NHIF

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umetoa mafunzo kwa madereva 75 wa pikipiki za biashara (bodaboda) mkoani hapa, juu ya namna ya kujiunga na mfuko huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazanzibari washauriwa kujiunga NHIF

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Hamis Mdee, amewashauri wakazi wa Zanzibar kujiunga na mfuko huo ili kuwa na uhakika wa matibabu. Mdee alisema...

 

11 years ago

Habarileo

Wakazi wa Zanzibar washauriwa kujiunga na NHIF

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis MdeeWAKAZI wa Zanzibar wameshauriwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wawe na uhakika wa kupata matibabu wakati wote.

 

10 years ago

GPL

KAMPENI YA SIKU 60 YA KUJIUNGA NA MFUKO WA NHIF

Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni… ...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MTWARA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU HURIA TANZANIA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa GHASIA akiwahutubia Viongozi wa mkoa wa Mtwara pamoja na wananchi wa mkoa wa Mtwara walio shiriki katika uzinduzi wa majengo ya tawi la Chuo kikuu huria Tanzania kushoto kwa waziri ni Makamu wa chuo kikuu huria Tanzania Profesa Tolly Mbwete kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego Waziri Hawa Ghasia alimuakilisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika uzinduzi wa majengo ya tawi la chuo kikuu huria...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake

Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana nae.  Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   Wakati wabunge wengi wakimuhurumia na kudhani kua kutofungwa kwa ndoa yake kungemgharimu siku nyingi kurudi katika hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani