Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waelimishwa kujiunga na NHIF

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umetoa mafunzo kwa madereva 75 wa pikipiki za biashara (bodaboda) mkoani hapa, juu ya namna ya kujiunga na mfuko huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wazanzibari washauriwa kujiunga NHIF

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Hamis Mdee, amewashauri wakazi wa Zanzibar kujiunga na mfuko huo ili kuwa na uhakika wa matibabu. Mdee alisema...

 

11 years ago

Habarileo

Wakazi wa Zanzibar washauriwa kujiunga na NHIF

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis MdeeWAKAZI wa Zanzibar wameshauriwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wawe na uhakika wa kupata matibabu wakati wote.

 

10 years ago

GPL

KAMPENI YA SIKU 60 YA KUJIUNGA NA MFUKO WA NHIF

Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni… ...

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Wahimizwa Kujiunga na NHIF kabla ya kuugua

WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kabla ya kuugua ili kuepukana na usumbufu mkubwa ambao umekuwa ukijitokeza.
Rai hiyo imetolewa na Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Ilala Bw. Christopher Mapunda wakati akiwasilisha mada katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima.
Amesema kuwa utafiti unaonesha watu wengi huanza harakati za kutaka kuwa na bima ya afya wakiwa na wagonjwa na wanapoona gharama za matibabu zinawalemea.
“Watu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

NHIF kuendesha kampeni jamii kujiunga CHF

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatarajia kuendesha kampeni ya siku 60 nchini kuhamasisha jamii kujiunga na huduma za mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/Tika). Kampeni hiyo ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAENDELEA KUWAHAMASISHA WANANCHI WA KILWA KUJIUNGA NA CHF

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),  Rehani Athumani (kulia) akikabidhi baadhi ya mashuka kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Chumo, Khatib Riwanda kwa matumizi ya Zahanati ya Kijiji hicho cha Chumo, wakati wa muendelezo wa Kampeni yake iliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Chumo, Kata ya Chumo, Kilwa Mkoani Lindi. Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Lindi, Fortunata Raymond.Picha na Othman Michuzi, Lindi.Mkurugenzi wa Masoko...

 

9 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI BABATI WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA KIKOA WA NHIF

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela amewataka wajasiriamali wa wilaya hiyo kujiunga na mpango wa bima ya afya ya Kikoa ili wapate huduma za afya kwa unafuu na ubora zaidi pindi wakiugua.
Meela aliyasema hayo mjini Babati katika kongamano la kuwakutanisha wajasiriamali wa wilaya hiyo wa vicoba, Saccos, amcos, vibindo na vikundi maalum vilivyosajiliwa ili wajiunge na mpango wa bima ya afya ya Kikoa.
Alisema kuna changamoto nyingi za afya wilayani humo ila kupitia mpango...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).

 Mkuu wa Mkoa wa kigoma akiwaeleza wafanyabiashara(ambai hawapo pichani) wa Kigoma umuhimu wa kujiunga na mfuko wa bima ya afya(NHIF) Ofisa matekelezo kutoka mfuko wa bima ya afya Kigoma Evance Ndyamkama akiongea na wafanyabiashara wa Kigoma jinsi ya kujiunga na mfuko huo Makamu mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Kigima(TCCIA) Sethi Naftari akisona hotuba ya wafanyabiashara kwa Mgeni rasmi Issa Machibya na maofisa mfuko wa bima ya afya Baadhi ya wafanyabiashara wa Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF Yawapongeza Viongozi wa Dini kwa kuhamasisha kaya kujiunga na CHF

Meneja Mwandamizi wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Kanda ya Magharibi – Tabora Bw. Emmanuel Adina (kushoto) akifafanua jambo kwa Afisa Habari wa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Jonas Kamaleki alipofanya mahojiahano naye kuhusu Mfuko wa Afya ya Jamii unavyo nufaisha Vijana wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Vijana inayofanyika Kitaifa Mkoani Tabora.Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Bibi Catherine Kameka akielezea jambo kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani