KAMPENI YA SIKU 60 YA KUJIUNGA NA MFUKO WA NHIF
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/112.jpg?width=650)
Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/RVdzUcpnPNvf7Lm47Bo8sfuIVrAcyGvd7lly4MjCB9EQzE2MTAsAPEawrqHQXvVidPjfKQ-wYgYr0zJ78NGeWRDn_fuL0xyJ8MykTr3TlDpfhSVBy-y9=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/112.jpg)
NIHF KUFANYA KAMPENI YA SIKU 60 KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO WA BIMA YA AFYA
9 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Wanahabari Mkoa wa Singida (Singpress) wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya wa NHIF!
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-j3FD7gyM7ZI/VFswQMPB3QI/AAAAAAAGvs8/4r8BWo28sBU/s72-c/23.jpg)
NHIF KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO KATIKA HALMASHAURI 54 NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-j3FD7gyM7ZI/VFswQMPB3QI/AAAAAAAGvs8/4r8BWo28sBU/s1600/23.jpg)
10 years ago
MichuziWAJASIRIAMALI TOKA VIKUNDI MBALIMBALI WAHAMASISHWA KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Wajasiriamali toka vikundi mbalimbali wamehamasishwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kurahisisha matibabu wawapo katika shughuli zao za kawaida,leo katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
Katika Mpango mpya uliozinduliwa na Mfuko huo ujulikanao kama Mpango wa Kikoa(MATUAL PLAN),Wajasiriamali watakaojiunga na mfuko huo na kuwa wanachama watalipia shilingi 76,800 kwa mwaka ili kupata matibabu kupitia mfuko huo. ...
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
NHIF kuendesha kampeni jamii kujiunga CHF
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatarajia kuendesha kampeni ya siku 60 nchini kuhamasisha jamii kujiunga na huduma za mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/Tika). Kampeni hiyo ambayo...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Ve0wVtFgBTE/VkQ7ZXe2QxI/AAAAAAAIFYQ/tCIHNCIUU08/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...
10 years ago
Dewji Blog30 Nov
NHIF wazindua kampeni ya mfuko wa afya ya jamii vijiji vya Nzega
Mkuu wa wilaya ya Nzega Bituni Msangi akipokea msaada wa shuka kwa ajili ya wagonjwa wa Zahanati ya kijiji cha Ubinga zilizotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF ambapo Afisa Matekelezo wa mfuko huo Sunday Matoi alikabidhi msaada huo kwa mkuu wa wilaya ya Nzega kabla ya kufanya ufunguzi wa majengo mapya ya zahanati ya Ubinga.
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
NHIF yaendelea na kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na CHF katika kijiji cha Chumo Kilwa
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akikabidhi mashuka kumi kwa Khatib Said mwenyekiti wa kijiji cha Chumo Wilayani Kilwa mkoani Lindi yaliyotolewa na mfuko huo kwa ajili ya zahanati ya kijiji hicho wakati wa mwendelezo wa kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na huduma ya Afya ya Jamii CHF inayotolewa na NHIF, Ambapo wananchi mbalimbali walipima afya kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza na kujiunga na huduma hiyo kwenye uwanja wa shule...