TIMU YA EALA WAICHAPA BURUNDI 4-2
Wachezaji wa Timu ya EALA waliovalia jezi rangi ya blue wakipambana na wenzao timu ya Burundi. Timu ya wabunge wa EALA wameicharaza mabao manne kwa mbili timu ya Burundi jana katika Uwanja Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ikiwa ni muendelezo wa mashindano ya wabunge Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)Mchezaji mahiri wa timu ya Eala John King aliipatia mabao 3 timu yake dakika ya 9 na 21 kipindi cha kwanza hali iliyosabaisha mashabiki waliomiminika katika uwanja huo kumshangila
Kipindi cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 Dec
TIMU YA TANZANIA WAICHAPA EALA MABAO 4-0
10 years ago
Dewji Blog11 Apr
Polisi Singida waichapa timu ya wandishi wa habari Singpress 3-2
Timu waandishi wa habari mkoa wa Singida iliyopambana na timu ya polisi katika mechi kali na ya kusisimua ya bonanza iliyofanyika uwanja wa Namfua.
Na Nathaniel Limu, Singida
TIMU ya soka ya jeshi la polisi mkoani Singida,imeichapa timu ya klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida goli 3-2 kwenye mchezo wa bonanza iliyoandaliwa na kufadhiliwa na kampuni ya simu Vodacom Tanzania tawi la Singida.
Mechi hiyo kali na ya kusisimua,imefanyika kwenye uwanja wa michezo wa Namfua...
10 years ago
MichuziPRESIDENT PIERRE NKURUNZIZA OPENS EALA PLENARY...Tells EALA to strengthen oversight role and promises credible elections in Burundi
9 years ago
TheCitizen26 Nov
Burundi to recall four legislators from Eala
9 years ago
TheCitizen02 Dec
Recalled Burundi Eala Mps vow to stay on
10 years ago
NTV Uganda20 Mar
Kikwete addresses EALA, warns of possible violence in Burundi elections
spyghana.com
Kikwete addresses EALA, warns of possible violence in Burundi elections
NTV Uganda
Kikwete urged EAC member states to be ready to help restore peace in Burundi if violence erupts after the polls. President of the United Republic of Tanzania Jakaya Kikwete is warning that violence could break out in the Burundi general elections scheduled ...
Tanzania's President visits Burundispyghana.com
President Pierre Nkurunziza Opens EALA PlenaryAllAfrica.com
all 9
10 years ago
MichuziEALA SPEAKER CALLS ON PRESIDENT PIERRE NKURUNZIZA OF BURUNDI
The President reiterated that Burundi was committed to the integration process and urged the Assembly to steady its mandate as it continues in its quest to serve East Africans President Nkurunziza remarked that the citizens of the region had continued to reap from the benefits of...
10 years ago
MichuziRT HON KIDEGA ELECTED SPEAKER OF EALA: Undertakes to reconstruct EALA and take it to the next level
Rt. Hon Kidega was elected unopposed after his main contender, Hon...
9 years ago
GPLSIMBA WAICHAPA KAGERA SUGAR 3-1