Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNAWEZA KUJIFUNZA KUTOKA UHISPANIA- BALOZI MANONGI

 Na Mwandishi Maalum   Tanzania inaweza kuongeza zaidi kasi yake ya ukuaji wa uchumi na maendeleo ya wananchi wake, kwa kujifunza uzoefu wa nchi nyingine marafiki kama vile Uhispania. Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, ameyasema hayo siku ya jumanne, wakati alipokuwa akichangia majadiliano ya mada kuhusu “Kuendelea kwa Pamoja: misaada ya maendeleo ( ODA), biashara na uwekezaji”.  Muwasilishaji wa mada hiyo alikuwa ni Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Balozi Naimi: Tuna ya kujifunza kutoka Ethiopia

Ethiopia ni moja kati ya nchi ambazo zimekua kiuchumi na kuwa rafiki mzuri wa Tanzania katika nyanja mbalimbali.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Vitu gani tunaweza kujifunza kwa nchi ambazo zimepambana mapema na corona?

Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa wimbi la pili baada ya kulegezwa kwa masharti

 

10 years ago

Michuzi

Ankal benet na balozi manongi

Ankal akila selfie na Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa. Balozi Manongi ni Jembe ambalo halichoki kuendeleza libeneke. Pia ni mmoja wa washauri wakuu wa Globu ya Jamii ughaibuni.

 

9 years ago

Vijimambo

Tanzania na harakati dhidi ya mauaji ya Albino: Balozi Manongi


Balozi Tuvako Manongi, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Idhaa ya Kiswahili/Joseph Msami)
Katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amezungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya mauaji ya albino nchini Tanzania na kile ambacho kinafanyika kuondokana na vitendo hivyo ambavyo ameviita ni janga. Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa alizungumza na Balozi...

 

10 years ago

Vijimambo

UVUVI ENDELEVU UTAWASAIDIA WAVUVI KUONDOKANA NA UMASKINI-BALOZI MANONGI

picha hii ya maktaba inawaonyesha wavuvi wakirejea pwani baada ya shughuli ya kuvua samaki, inaelezwa kwamba wavuvi wadogo kama hawa wakiwezeshwa siyo tu wanajiongezea kipato chao lakini pia inawasidia katika utunzaji wa mazingira ya bahari .Mmoja wa washiriki wa mkutano huo akibadilishana mawazo na Balozi Manongi, mshiriki huyu kutoka Norway katika maelezo yake amesema anafanya kazi kwa karibu na serikali ya TanzaniaPichani ni sehemu ya washiriki wa mkutano huo wa pembezoniBalozi...

 

10 years ago

Michuzi

UVUVI ENDELEVU UTAWASAIDIA WAVUVI KUONDOKANA NA UMASKINI - BALOZI MANONGI

Na Mwandishi Maalum, New York  Tanzania, kupitia Mwakilishi wake wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, imeelezea kuridhishwa kwake na namna ambavyo Mashirika ya Kimataifa naTaasisi binafsi zinavyoshirikiana na kwa karibu na serikali na taasisi zake kuimarisha sekta ya uvuvi. Ushirikiano huo umeifanya sekta ya uvuvi nchini kuwa wenye tija na hivyo kuchangia katika ongezeko la kupato na kuwaondoa katika umaskini jamii ya watanzania ambao maisha yao ya kila...

 

10 years ago

Michuzi

MISHENI MAALUM ZA KISIASA ZIWE WAZI NA JUMUISHI-BALOZI MANONGI

Mwakilishi wa Kudumu wa  Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Tuvako Manongi akibadilishana  mawazo na  Bw. B. Lynn Pascoe  ambaye ni kati ya wajumbe 14 wa Tume Huru iliyoundwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  kufanya tathmini kuhusu hali ya sasa ya Operesheni za Ulinzi wa Amani pamoja na  Misheni Maalum za Kisiasa. Tume hiyo huru iliyoteuliwa  mwishoni mwa mwaka jana imekwisha anza kazi.
 Jana ( Jumatano ) Baadhi ya wajumbe wa Tume hiyo akiwamo Bw. Pascoe walikutana katika...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Manongi aiongoza Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

Balozi Tuvako Manongi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akimkaribisha Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa ( wa kwanza kushoto) kuzungumza na wajumbe wa Kamati hiyo ya Sita ambayo jukumu lake ni kuratibu na kuendesha mijadala yote inayohusu masuala ya sheria. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo mwenyekiti wa Kamati hiyo kwa kipindi cha mwaka moja. Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amekuwa akitembelea na...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuliyoshindwa kujifunza kutoka Azimio la Arusha

Mengi yamezungumzwa na yatazungumzwa tena wakati tunaadhimisha miaka 47 ya Azimio la Arusha. Kwa leo ningependa nipitie mambo mawili matatu ninayohisi kwamba Watanzania hawakujifunza, wala kuambulia kitu kutokana na hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani