Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MAZIKO YA MZEE NELSON MADELA‏


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Waterkloof Airforce Base ulioko Kusini mwa jiji la Pretoria alikowasili usiku wa kuamkia leo tayari kuhudhuria mazishi ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mzee Nelson R. Mandela.
Rais Kikwete akisalimiana na Mwambata wa Kijeshi katika Ubalozi wa Tanzania Afrika kusini katika uwanja wa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa Afrika. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI ABUJA, NIGERIA, KUHUDHURIA MKUTANO WA UCHUMI DUNIANI (WORLD ECONOMIC FORUM)‏

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria  Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri wa Nishati wa Nigeria Profesa Chinedu Ositadinma Nebo  na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo viongozi toka nchi 40 pamojan na Marais Wastaafu sita wanahudhuria.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI WASHINGTON KUHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA AMERIKA NA AFRICA (US-AFRICA LEADERS SUMMIT)‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barak Obama unaoanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji  (2-3 Agosti, 2014)  jijini Washington… ...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI LEO IKULU DAR ES SALAAM‏

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2014. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe alikuwepo pia. PICHA NA…

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. Bwana Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto Guebuza anayemaliza muda wake.(Picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 69 WA UN

Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014. Kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali…

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Museveni awasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uongozi la Afrika

Rais wa Uganda, Mhe.Yoweri Kaguta Museveni akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Said Meck Sadiq mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere, tayari kwa kuhudhuria mkutano wa Jukwaa la Uongozi la Afrika unaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 30 na 31 Agosti, 2015Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Zuhura Bundala akisalimiana na Rais Museveni baada ya kuwasili uwanjani hapo .Mhe. Rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani