RAIS KIKWETE NA WAZIRI MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA YOMBO, BAGAMOYO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE NA WAZIRI MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA YOMBO, BAGAMOYO, LEO


5 years ago
Michuzi
DC IKUNGI AONGOZA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA KITUNTU SINGIDA



9 years ago
Global Publishers22 Dec
Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015.
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini.
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais...
9 years ago
Michuzi
RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KIJIJINI MSOGA LEO



5 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMEMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MAREHEMU BALOZI AUGUSTINE MAHIGA MKOANI IRIBGA

5 years ago
CCM Blog
WAZIRI MKUU MAJALIWA, RAIS MSTAAFU KIKWETE WAKISHIRIKI MAZISHI YA NKURUNZIZA BURUNDI

11 years ago
GPL15 Dec
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA DKT WILLIAM MGIMWA