Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO

Rais Kikwete: Sera ya Nje itabakia ile ile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa siasa ya nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni hayatabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani mwanzoni mwa Novemba, mwaka huu, 2015.
Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa yeye anaondoka madarakani lakini Tanzania waliyoizoea na kuijua itabakia pale pale na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO KWA MAKUBWA ALIYOFANYA KATIKA MIAKA 10

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi. PICHA ZOTE NA IKULU  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGA UMOJA WA MATAIFA (UN)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mtaifa akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hotuba ya Mhe. Rais na ambayo iligusia mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, na maendeleo akitumia pia fursa hiyo kuwaanga viongozi wenzie na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, iliwasisimua wajumbe wa mkutano huo kiasi cha kukatishwa mara...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika mkutano wa 25 wa kawaida wa Umoja wa Afrika Jijini Johannesburg leo

aa1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wa Umoja wa Afrika wakiimba wimbo wa umoja huo katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannesburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida leo June 14, 2015.

aa3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannesburg,...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA MKUTANO WA 25 WA KAWAIDA WA UMOJA WA AFRIKA JIJINI JOHANNESBURG

2Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongzi wengine wa Umoja wa Afrika wakiimba wimbo wa umoja huo katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida June 14, 20153Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Dkt.MwinyihajiMakame Mwadini na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba katika ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aaga rasmi Mahakama leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (alieketi katikati mstari wa juu) akifatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Jaji Mohamed Othman Chande (aliesimama) wakati alipokwenda kuaga Mahakama. Hafla hiyo inafanyika hivi sasa ndani ya Ukumbi wa Mahakama Kuu Jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni baadhi ya majaji pamoja Waziri wa Katiba na Sheria, Mh. Dkt. Asha-Rose Migiro.Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu wakifatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Jaji Mohamed Othman Chande, wakati Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI FEBRUARY, 2015

Hotuba Ya RAIS Mwisho Wa Mwezi Februari, 2015

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani